Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Kijana, nayakubali maelezo ya Barwani ya Aya 109 ya Surat Tawba. Ingekuwa siyakubali nisinge kuzaba nayo kukutowa ujinga wako wa kukazania adhabu za kaburi ndani ya Qur'an. Maelezo mengine mengi sijayasoma kwa hiyo siwezi kuelewa mpaka nitapoyasoma nitajuwa kama nayakubali au la.

Na hilo ni kwa Maulamaa wote, yapo ambayo nayakubali na yapo ambayo nnahitilafiana nayo.

Hiyo si kioja wala kiroja ni kawaida kwa Maulamaa wakubwa pia wengi wamehitilafiana katika masuala mengi ya Kiislam.

Hilo hi swali la kutafuta pakutokea kijana halina tija kwako.

Uliza maswali yenye manufaa kwako na kwa wanaousoma uzi huu.

Usiwe mjinga kijana, uliza swali moja moja upate faida ya kujibiwa, unaingiza mada tofauti tofauti kwenye post moja. Hujasoma Fiqhi wewe? Eboo!

Kwa hiyo umemaliza kuhusu adhabu ya kaburi na umekiri kuwa hakuna kwenye Qur'an, maana ulisema unazo Aya nyingi tu kuhusu Hilo. Ziko wapi?

Usijidai kukimbia hapa kuhusu adhabu za kaburi ndani ya Qur'an Kwa kuleta habari za kutawadha na salat. Huchomoki hapa.
 
Hayo maswali myepesi sana Lakini Kwanza tumalize la adhabu ya kaburi.

Nasubiri Aya ulizodai kuwa ni "nyingi kwenye Qur'an zinaelezea adhabu ya kaburi".

Umekuja na moja na tumeshakupa darsa kuwa hizo siyo adhabu za kaburi kwenye Aya 109 ya Surat Tawba, sasa kiri kuwa Qur'an haina Aya nyingine halafu ulete maswali yako mengine. Au leta hizo Aya tukuendelezee darsa.

Tena elewa, kisomi huwa mnajadili mada moja mpaka ikamilike halafu ndiyo mnahamia nyingine.

Usiwe poyoyo. Hakuna mwanafunzi wangu ambae ni poyoyo, usiwe wa kwanza.
 
Na hili nalijua na nina jua asili ya tarjama ya Sheikh Ali Muhsin al Bar'wan.

Hujajibu swali, kwahiyo maelezo ya ziada ya al Bar'wan una yakubali ? Hapa ni takuuliza swali lingine, maneno yake ameyaegemeza wapi ?

We poyoyo umeshasahau uliandika nini juu huko? Jikumbushe chini hapa...


Umejiona ulivyo poyoyo, kwanza ulikataa, ulijidai ooh Barwan "hana Tafsiri, amefanya tarjama ya neno kwa neno" tu, sasa unajidai kuuliza "maelezo ya ziada ya al Bar'wan una yakubali ? "

Kwi kwi kwi teh teh teh. Barwan kakuzaba cha kikelb, nikuwekee tena kikuingie vizuri?

Nani aliyekula matapishi yake hapo? Ptuuuu.
 
Umejibu wapi ulipoleta waznu wa neno kuowana kwa kiarabu au wajifaragua tu?

Mimi nataka waznu hapa usikimbie we mzee mpaka upambanukiwe na ujuha hapa.


NATAKA UNIPE NENO KUOWANA KWA KIARABU LITAPIMA KWA WAZNU UPI..?
wenzako kakusaidia post na 3056 kamsome.

Wewe umekazania kitu ambacho hukielewi. Nimejibu 3063.

Someni acheni uvivu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi mada yangu nataka unipe neno kuowana kwa kiarabu na wwznu wake ni upi?
Mbona kama wewe unataka mada hapa hujajibu?
Au umenipa huo waznu bibie.nimekuambia kuwa waznu hautegemei mambo mawili kama ulivyojipapatua kwenye comment yako,na haujapinga kuonesha unabahatisha tuu mambo.


Nipe waznu wa neno kuowana kwa kiarabu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa unatumia kipimo gani kufahamu ukweli wa vi clips na vi makala vyako ambavyo havitoki katika vyombo vya habari vikubwa na vyenye kuheshimima kabla ya kuvileta hapa JF?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haujuwi unachokiuliza, waliokufundisha wamekusomesha ujinga.

Mimi nasubiri ahadi yako ya kunipa Ayat za Quraan za adhabu ya kaburi. Umeahidi toka mwaka jana, mpaka leo hujaziona tu? Au hauna Qur'an una vitabu vya porojo tu?

Au hujaziona nikusaidie? Kiri tu.

Mwenzako anaejiita Zurri alikuja na uzushi na kutaka kubambikia maneno yake, kazabwa cha kikelb na Barwan. Sasa anahaha hajuwi aanzie wapi. Mwambie akusaidie, thubutu!

Halafu kijana wa kiume kujiita Zurri inafikirisha.
 
Huwa unatumia kipimo gani kufahamu ukweli wa vi clips na vi makala vyako ambavyo havitoki katika vyombo vya habari vikubwa na vyenye kuheshimima kabla ya kuvileta hapa JF?

Sent using Jamii Forums mobile app
"Vi clips" ndiyo nini na "vimakala" vipi hivyo? Sina "vimakala" vyangu wala sijuwi kuviandika "vimakala". Umeviona wapi?
 
Ujinga kukudai waznu wa neno kuowana?


Lete huo waznu hapa sitaki stori.

Uko wapi waznu wa neno kuowana kwa lugha ya kiarabu..?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maswali yangu yamekuzidi uwezo. Si una kataa hadithi bibie, sasa tulia uonyeshwe ya kuwa mtume alikuja na ufunuo wa aina mbiki, Qur'aan na Hadithi.

Sasa nakusaidia tu ya kuwa katika Tashahudi kuna dua na kikao hiki ni wajibu katika sala, kuna dua lazima uisome dua ambayo mtume ameifundisha kuomba juu ya mambo manne. Likiwemo la kuomba Allah atuepushe na fitna za kaburini.

Hili kimeisha. Huna uwezo nalo.

Kuhusu maelezo ya Bar'wan hatuyafanyii kazi sababu hayana ushahidi.
 
Ujinga kukudai waznu wa neno kuowana?


Lete huo waznu hapa sitaki stori.

Uko wapi waznu wa neno kuowana kwa lugha ya kiarabu..?

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha porojo wewe.nimeshakupq darsa Sana kuhusu "wazn". Usidanganye watu hapa hiyo "waznu" yako tafsiri yake nini Kiswahili au Kingereza?
Wewe itakuwa
haujuwi unachotaka kuuliza umekazania "waznu", waznu".

"Wazn" = mizani (balance).

Kwa lugha zote za uandishi, iwe Kiswahili au Kiarabu au Kingereza, mizani unaipata kwenye mashairi au tungo zozote zile na kwenye muziki.

Sasa wewe unataka nikutungie mashairi na "waznu" yako?

Kijana huna ulijuwalo na ujinga wa kujifanya unajuwa ndiyo unajikosesha mengi sana ya ilm.

Mimi nasubiri ahadi yako ya kunipa Ayat za Quraan za adhabu ya kaburi. Umeahidi toka mwaka jana, mpaka leo hujaziona tu? Au hauna Qur'an una vitabu vya porojo tu?
 
Ushahidi ni Qur'an. Kakuzaba. Cha kikelb unatafuta pakutokea unataka ushahidi wa hadith za kutunga? Kwi kwi kwi teh teh teh.

Vipi Aya zako ukizoahidi kuleta za adhabu za kaburi kwenye Qur'an yamekushinda? Huwezi na hutoweza kuleta porojo ya adhabu ya kaburi ndani ya Qur'an.

Unaomba poo kwa kujidai utaleta Aya za hadith?

Aya za hadith zipo kibao ndani ya Qur'an lakini zote zinamaanisha Qur'an na hadith zilizo ndani ya Qur'an. Si vihadithi vyenu vya kishetani. Hivyo vimepondwa haswa ndani ya Qur'an na juu huko nilikuwekea aya hizo.

khaa! eti Mtume atowe hadith "mtu anapulizwa matako kwenye salat" na nyie mnashangilia tu huo ujinga! Nyie mtapigwa na laana kwa uzushi wenu na ombeni toba mapema msije kusema hamjaambiwa. Ndiyo maana mnawapa msemo wenye chuki na Uislam kwa vihadithi vyenu vya upuuzi.
 
Sasa nani amekubali hapo kama al Bar'wan anayo tafsiri, hana Tafsiri ya Qur'aan. Maarufu alifanya tarjama ya kitabu cha Tafsiri kiitwacho "al Muntakhab al Akhbar". Tuliza akili acha mawenge.
 
Bado maneno ya al Bar'wan hayatiliwi mkazo na hayafanyiwi kazi sababu hayana asili na hajaegemeza kwenye asili. Sisi tuna asili ya maneno ya mtume.

Nilikwambia sikutukani bi mkubwa nakudharau tu na kuku jeruhi.

Kwetu tusi huitwa jeneza. Mjinga nakupa amani. Zurri maana yake nini bibie ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…