FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
- Thread starter
- #3,081
Kijana, nayakubali maelezo ya Barwani ya Aya 109 ya Surat Tawba. Ingekuwa siyakubali nisinge kuzaba nayo kukutowa ujinga wako wa kukazania adhabu za kaburi ndani ya Qur'an. Maelezo mengine mengi sijayasoma kwa hiyo siwezi kuelewa mpaka nitapoyasoma nitajuwa kama nayakubali au la.Na hili nalijua na nina jua asili ya tarjama ya Sheikh Ali Muhsin al Bar'wan.
Hujajibu swali, kwahiyo maelezo ya ziada ya al Bar'wan una yakubali ? Hapa ni takuuliza swali lingine, maneno yake ameyaegemeza wapi ?
Nakuliza hivi, tashahudi yako kabla hujatoa salamu unapo sali, huwa unaisomaje ? Hii wiki ya pili tunaitafuta, swali hili hujibu.
Na hilo ni kwa Maulamaa wote, yapo ambayo nayakubali na yapo ambayo nnahitilafiana nayo.
Hiyo si kioja wala kiroja ni kawaida kwa Maulamaa wakubwa pia wengi wamehitilafiana katika masuala mengi ya Kiislam.
Hilo hi swali la kutafuta pakutokea kijana halina tija kwako.
Uliza maswali yenye manufaa kwako na kwa wanaousoma uzi huu.
Usiwe mjinga kijana, uliza swali moja moja upate faida ya kujibiwa, unaingiza mada tofauti tofauti kwenye post moja. Hujasoma Fiqhi wewe? Eboo!
Kwa hiyo umemaliza kuhusu adhabu ya kaburi na umekiri kuwa hakuna kwenye Qur'an, maana ulisema unazo Aya nyingi tu kuhusu Hilo. Ziko wapi?
Usijidai kukimbia hapa kuhusu adhabu za kaburi ndani ya Qur'an Kwa kuleta habari za kutawadha na salat. Huchomoki hapa.