QURAN IMEANDIKWA NA SHETANI MPINGA KRISTO NA NABII WA UONGO.
QURAN 2:97 - Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.
ADUI WA MALAIKA WA MUNGU NDIE ALIYEITEREMSHA QURAN
1.JE ADUI WA MALAIKA WA MUNGU ATAKUWA NANI?????
2. JE ADUI WA MUNGU NI NANI????
JIBU NI SHETANI.
UNABII WA UFUNUO UNAITA DINI HIYO NI SHIMO LA KUZIMU UFUNUO 9.
Kwanza kabla sijakujibu maswali yako naona hata Kiswahili kinakupiga chenga, ingawa sisi tunaoisoma Qur'an kwa Kiarabu hapo tumeelewa wazi kabisa .
Hiyo unayoiona "Sema:" maana yake anaamrishwa aliyeteremshiwa Qur'an (Kuwaeleza) Aliyekuwa adui wa Jibril, Basi "huyo" (kwa huyo hapo imekusuduwa ni Jibril) ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.
Natumai umeelewa. Sasa chini hapa ni majibu kwa maswali yako:
1) Ni yule anaesema uongo kuhusu Jibril. kwani Jibril watu walianza kumzulia uongo siku nyingi sana kabla hata ya kuteremshwa Qur'an. Mfano wale wanaozuwa mpaka leo hii kuwa huyo ni "Mungu" maana kuna imani inaamini "roho myakatifu" aliyemshukia Bo Maryam mama'ke Yesu kuwa ni Mungu. Hao vile vile ni maadui wa Jibril. Walikuwepo wenye imani hizo mpaka wakati Qur'an inashushwa, hao ndiyo maadui wa Jibril.
2) Hakuna kwenye hiyo aya inapoongelea "adui wa Mungu".
Hilo jibu lako kuhusu shetani ni maoni yako tu, Waislam tunajuwa shetani adui yako wewe mwanadam, yupo katika kukupoteza usishike njia ya Mwenyezi Mungu.
Huo ufunuo wako hauna mashiko katika imani ya Waislam na hauna kabisa wala hatuamini kuwa ni aya ya Mwenyezi Mungu. Hayo ni maoni yako tu, na ni potofu.