Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Naomba mkuu kama unaloHujampa JIBU FaizaFoxy
[emoji3578]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba mkuu kama unaloHujampa JIBU FaizaFoxy
[emoji3578]
Wangap wakike na wangap wa kiume?Huu ndiyo uzi wa maswali na majibu binafsi.
AlhamduliLlahi nnao.
Sawa na Baba yao naweza nikamuona humu humu pia nikipitia vizuriUpitie huu uzi nilishalijibu hilo. Ukiupitia vizuri unaweza na kuwaona pia.
Yaan nisome kutoka mwanzoPitia uzi. Usiwe mvivu kuusoma, utajifunza mengi sana.
Hao maaskofu ni wanafiki, Shoo katowa siri, walikutana wote na mama Samia na wakaongea na wenye hoja zao wote zikasikilizwa na kama kawaida yake, mama akawaambia anazifanyia kazi, na mama Suluhu akikuahidi anafanyia kazi ujuwe ni kweli.Je nini kwa nini Faiza anapinga waraka wa TEC kuhusu bandari?
Faiza punguza udini. Chambua vifungu plzzzzzHao maaskofu ni wanafiki, Shoo katoiwa siri, walikutana wote na mama Samia na wakaongea na wenye hoja zao wote zikasikilizwa na kama kawaida yake, mama akawaambia anazifanyia kazi, na mama Suluhu akikuahidi anafanyia kazi ujuwe ni kweli.
Wasitake kulazimisha watu ujinga.
Wewe huwezi kunizuwiya Uislam wangu. Najivunia Uislam wangu.Faiza punguza udini. Chambua vifungu plzzzzz
Ndio shida yako. Badal ya kuchambua vifungu vyenye utata wewe kila kukicha unapandikiza mbgu za udini. BadilikeniWewe huwezi kunizuwiya Uislam wangu. Najivunia Uislam wangu.
Kama wewe huna dini usifikiri wote hatuna dini.
Kwanini ukerwe na Uislam wangu, ambao ni nwema sana? Ulikukosea nini? Au umejazwa ujinga tu?
Wewe nijibu tu kwanza nna zawadi yakoSasa nini kinakuzuwiya? Kusoma ni elimu.