Hapana, si "mapya", Biblia ya Syria itakuwa imeandikwa Kiarabu, kwa hiyo si ya Syria. Unaweza kuzifata hizo references.
Nnajuwa unayaona "mapya" kwa kuwa hujafundishwa biblia yako ipaswavyo na ndiyo huwa nawaaambia huwa "mnasomea ujinga".
Anza kwa kujisomea kwa roho kunjufu bila kuwa biased na In sha Allah kuna siku utaiona nuru iliyoondelewa kwako na ukafunikwa na kiza cha ujinga.
Pole sana.
Acha ubwege
So we unaishi torati Ya Moses
Yaani mtu uache kula nguruwe kwakuwa ni najisi kwa waislamu
Huo utakuwa wehu
Kila kimtokae mtu ndo najisi na si kiendacho kinywani
Acha kupotosha
Don't compare kuran na bible
Asante Kwa Pole
Ila faiza we uko biased
Na nguruwe, kwa sababu yeye anazo kwato ni mwenye miguu iliyopasuka kati, lakini hacheui, yeye ni najisi kwenu. Msile nyama yao, wala msiiguse mizoga yao; hao ni najisi kwenu.
Mambo ya Walawi 11.7-8
Iliyosema "najisi" ni biblia katika katika aya hizo za Walawi nilizoweka, kama unaamini ni maneno ya Waislam basi unazidi kuyakinisha kuwa Uislam haukuanza kwa Muhammad Salla Allahu Alayhi Wasalaam, kumbe ulikuwepo toka enzi za Taurati.
Ahsante kwa kunijuza hilo, umenifunguwa.
Kwanini nipo "biased" kijana, nimetowa fursa swali lolote na wewe umeniuliza maswali yanayohusiana na vitabu vya dini, nnakujibu kwa reference za hivyo vitabu unanishutumu kuwa niko "biased", hebu nijuze kivipi ili nisiwe "biased".
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Huyu ni mtu mzima,sometime tutumie busara.
Bibi,mimi nina swali moja!
Ni neno lipi hapa ndiyo sahihi?:
a)hili au ili?
b)ndio au ndiyo?
c)kwa hiyo au kwahyo?
d)hilo au ilo?
e)hile au ile?
f)hovyo au ovyo?
G)hapa au apa?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sorry
Nilikuambia kila aaminie ataokolewa
Wewe unaleta mambo ya torati plus kuran ambayo sisi hatuwezi kuconfirm kwasababu ya lugha iliyotumiwa
a) Hili au ili yote ni sahihi lakini yana maana tofauti.
b) Ndiyo, hata Nyerere alitumia neno "ndiyo" au hapana wakati wa kura zake za mtu mmoja, ona:
Mengine baadae au kama kuna wengine wanisaidie, ni open forum hii.
Kwanini alikuwa anafanya hivyo?a) Hili au ili yote ni sahihi lakini ,
Mengine baadae au kama kuna wengine wanisaidie, ni open forum hii.
Naam, mimi nnaamini kuwa Mwenyeezi Mungu hakuzaa wala kuzaliwa na Muhammad Salla Allahu Alayhi Wasalaam ni mtume wa Mwenyeezi Mungu na Yesu Alayhi Salaam ni mtume wa Mwenyeezi Mungu. Vipi wewe?
Swali langu umeruka Kwa nini dunia nzima wanaopigana vita na vurugu ni Waislamu zaidi e.g. Libya,Somali,Yemen,Syria,Iraq,Afghanistan,Uarabuni nk.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Sasa hizo nchi ulizozitaja ndiyo "dunia nzima"?
Halafu hiyo unayoita "Uarabuni" mimi siijuwi, mimi nnapajuwa Uarabuni, Nzega na Bujumbura.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
You have made my dayKwa mtazamo wangu ni udikteta tu. hakuna zaidi.
Asante sana,acha niendelee kusubiri kwa hayo mengine!a) Hili au ili yote ni sahihi lakini yana maana tofauti.
b) Ndiyo, hata Nyerere alitumia neno "ndiyo" au hapana wakati wa kura zake za mtu mmoja, ona:
Mengine baadae au kama kuna wengine wanisaidie, ni open forum hii.
KaribuMimi nakutaka wewe, na Nakupenda sana seriously, ila hujajua tu.
Sent from my GT-S7580 using JamiiForums mobile app
Katiba ya wakati huo ilikuwa inasemaje kuhusu 'uchaguzi'?Kwa mtazamo wangu ni udikteta tu. hakuna zaidi.