Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Hapana, si "mapya", Biblia ya Syria itakuwa imeandikwa Kiarabu, kwa hiyo si ya Syria. Unaweza kuzifata hizo references.

Nnajuwa unayaona "mapya" kwa kuwa hujafundishwa biblia yako ipaswavyo na ndiyo huwa nawaaambia huwa "mnasomea ujinga".

Anza kwa kujisomea kwa roho kunjufu bila kuwa biased na In sha Allah kuna siku utaiona nuru iliyoondelewa kwako na ukafunikwa na kiza cha ujinga.

Pole sana.

Asante Kwa Pole

Ila faiza we uko biased
 
Bibi,mimi nina swali moja!
Ni neno lipi hapa ndiyo sahihi?:
a)hili au ili?
b)ndio au ndiyo?
c)kwa hiyo au kwahyo?
d)hilo au ilo?
e)hile au ile?
f)hovyo au ovyo?
G)hapa au apa?
 
Acha ubwege

So we unaishi torati Ya Moses

Yaani mtu uache kula nguruwe kwakuwa ni najisi kwa waislamu

Huo utakuwa wehu

Kila kimtokae mtu ndo najisi na si kiendacho kinywani

Acha kupotosha

Don't compare kuran na bible

Na nguruwe, kwa sababu yeye anazo kwato ni mwenye miguu iliyopasuka kati, lakini hacheui, yeye ni najisi kwenu. Msile nyama yao, wala msiiguse mizoga yao; hao ni najisi kwenu.

Mambo ya Walawi 11.7-8

Iliyosema "najisi" ni biblia katika aya hizo za Walawi nilizoweka, kama unaamini ni maneno ya Waislam basi unazidi kuyakinisha kuwa Uislam haukuanza kwa Muhammad Salla Allahu Alayhi Wasalaam, kumbe ulikuwepo toka enzi za Taurati.

Ahsante kwa kunijuza hilo, umenifunguwa.
 
Asante Kwa Pole

Ila faiza we uko biased

Kwanini nipo "biased" kijana, nimetowa fursa swali lolote na wewe umeniuliza maswali yanayohusiana na vitabu vya dini, nnakujibu kwa reference za hivyo vitabu unanishutumu kuwa niko "biased", hebu nijuze kivipi ili nisiwe "biased".
 
Na nguruwe, kwa sababu yeye anazo kwato ni mwenye miguu iliyopasuka kati, lakini hacheui, yeye ni najisi kwenu. Msile nyama yao, wala msiiguse mizoga yao; hao ni najisi kwenu.

Mambo ya Walawi 11.7-8

Iliyosema "najisi" ni biblia katika katika aya hizo za Walawi nilizoweka, kama unaamini ni maneno ya Waislam basi unazidi kuyakinisha kuwa Uislam haukuanza kwa Muhammad Salla Allahu Alayhi Wasalaam, kumbe ulikuwepo toka enzi za Taurati.

Ahsante kwa kunijuza hilo, umenifunguwa.

Faiza mambo ya walawi ni old testament

Sasa tupo kwenye new testament

Iyo shule ya Calgary ulienda kusomea ujinga???
 
Kwanini nipo "biased" kijana, nimetowa fursa swali lolote na wewe umeniuliza maswali yanayohusiana na vitabu vya dini, nnakujibu kwa reference za hivyo vitabu unanishutumu kuwa niko "biased", hebu nijuze kivipi ili nisiwe "biased".

Nilikuambia kila aaminie ataokolewa

Wewe unaleta mambo ya torati plus kuran ambayo sisi hatuwezi kuconfirm kwasababu ya lugha iliyotumiwa
 
Bibi,mimi nina swali moja!
Ni neno lipi hapa ndiyo sahihi?:
a)hili au ili?
b)ndio au ndiyo?
c)kwa hiyo au kwahyo?
d)hilo au ilo?
e)hile au ile?
f)hovyo au ovyo?
G)hapa au apa?

a) Hili au ili yote ni sahihi lakini yana maana tofauti.
b) Ndiyo, hata Nyerere alitumia neno "ndiyo" au hapana wakati wa kura zake za mtu mmoja, ona:

fb_img_1431712792847-jpg.252094

Mengine baadae au kama kuna wengine wanisaidie, ni open forum hii.
 
Nilikuambia kila aaminie ataokolewa

Wewe unaleta mambo ya torati plus kuran ambayo sisi hatuwezi kuconfirm kwasababu ya lugha iliyotumiwa

Naam, mimi nnaamini kuwa Mwenyeezi Mungu hakuzaa wala kuzaliwa na Muhammad Salla Allahu Alayhi Wasalaam ni mtume wa Mwenyeezi Mungu na Yesu Alayhi Salaam ni mtume wa Mwenyeezi Mungu. Vipi wewe?
 
a) Hili au ili yote ni sahihi lakini yana maana tofauti.
b) Ndiyo, hata Nyerere alitumia neno "ndiyo" au hapana wakati wa kura zake za mtu mmoja, ona:

fb_img_1431712792847-jpg.252094

Mengine baadae au kama kuna wengine wanisaidie, ni open forum hii.

I wish I could have seen you

Karibu jozi hapa downtown hilbrow

Siku ukija sauzi nitafute au ukiwa bongo karibu Sana arusha
 
Naam, mimi nnaamini kuwa Mwenyeezi Mungu hakuzaa wala kuzaliwa na Muhammad Salla Allahu Alayhi Wasalaam ni mtume wa Mwenyeezi Mungu na Yesu Alayhi Salaam ni mtume wa Mwenyeezi Mungu. Vipi wewe?

Naamini kuwa Mwenyezi Mungu muumba wa Mbingu na ardhi ambaye hana mwanzo wala mwisho

Na ninaamini katika yesu kristo mwana wa Mungu aliye tumwa kwaajili ya dhambi zetu
 
Swali langu umeruka Kwa nini dunia nzima wanaopigana vita na vurugu ni Waislamu zaidi e.g. Libya,Somali,Yemen,Syria,Iraq,Afghanistan,Uarabuni nk.

Sasa hizo nchi ulizozitaja ndiyo "dunia nzima"?

Halafu hiyo unayoita "Uarabuni" mimi siijuwi, mimi nnapajuwa Uarabuni, Nzega na Bujumbura.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Sasa hizo nchi ulizozitaja ndiyo "dunia nzima"?

Halafu hiyo unayoita "Uarabuni" mimi siijuwi, mimi nnapajuwa Uarabuni, Nzega na Bujumbura.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
a) Hili au ili yote ni sahihi lakini yana maana tofauti.
b) Ndiyo, hata Nyerere alitumia neno "ndiyo" au hapana wakati wa kura zake za mtu mmoja, ona:

fb_img_1431712792847-jpg.252094

Mengine baadae au kama kuna wengine wanisaidie, ni open forum hii.
Asante sana,acha niendelee kusubiri kwa hayo mengine!
 
Back
Top Bottom