Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Kwa nini viumbe "majini" yanatumia majina ya Kiislamu? Mfano: Fatuma, Maimuna, Makata n.k.
Samahani kwa kuingilia
Ukienda usukumani utakuta yanaitwa kivinge kabisa na ukienda unyakyusani vivo hivyo ingawa wengine hawasemi kama ni majini bali majina mengine. Kwa ufupi viume 'majini', mizimu etc majina yao yanategemea mazingira.
 


Yule Rubani aliusomea urubani Tanzania?
 
Hujajibu hoja yoyote au ule mgao na wewe ulipewa?

Nilijibu hivi, nnaona hata kufata link kumekushinda, isiwe tabu, jisomee:

Hizo "millioni kumi" mimi nnazisoma humuhumu JF, sijaona ushahidi wowote kwa hiyo siwezi kuziongelea zaidi ya kupiga porojo za hapa na pale kama ilivyo kawaida ya barza lolote lile. Si kila ukisikiacho ni ukweli, jee mwenzangu ulikuwepo wakigawana hizo "million kumi kumi"?
 
Hata mimi siamini kwamba Ndalichako ndo sababu ya kufeli lakini kwa bahati mbaya sana; baadhi ya Waislam walishakuwa na hisia mbaya dhidi ya NECTA! Kama kumbukumbu zangu zipo sawa, inasemekana madudu ya NECTA yaliibuliwa na Marehemu Profesa Kigoma Ally Malima alipopata nafasi ya kuhudumu kama Waziri wa Elimu (kama sikosei).

Kuanzia hapo manung'uniko yakawa yanaendelea mwaka hadi mwaka... kilele cha manung'uniko hayo ni pale NECTA ilipofanya blanda ya kufa mtu kwenye Mtihani wa Islamic Knowledge! Je, unalikumbuka hili? Kama umesahau nitakukumbusha kwa uchache sana!!

Matokeo ya Form VI mwaka 2012 yalipotoka tu; ikaonekana kuna khitilafu kwenye somo la Islamic Knowledge! Khitilafu haikuwa spoted na NECTA la hasha bali na BAKWATA kama sikosei! Malalamiko yakasikika toka huku na huko hadi serikali ikalazimika kuunda tume kuchunguza. Mwisho wa siku, Tume ikatoa ripoti kwamba ni kweli NECTA wamekosea... average marks badala ya kugawanya kwa 2; wao wakadai ni makosa ya system ambayo iligawanya kwa 3... which means; mtu mwenye total marks 150 kwa paper 3 akapata average ya 50% kwavile system imegawanya kwa tatu badala ya kuwa na 75% (150/2)!!!

Sasa hebu twende taratibu... watu kila mwaka wanalalamika na hatimae wale wale wanaolalamika kila mwaka matokeo waliyo na ufahamu nayo yanachakachuliwa na system na tume ina-admit kwamba NI KWELI matokeo yamekosewa! Je, bado unaweza kuendelea kuwa na imani na mtendaji husika hasa ukizingatia mmekuwa hamna imani na taasisi hiyo kwa miaka kadhaa kabla ya kujivua nguo wenyewe?

Je, hivi hapo wakisema hii Islamic Knowledge tumeigundua kwa sababu ni sisi wenyewe ndio tunahusika nayo lakini inawezekana yapo masomo mengine mnachakachua lakini kwavile hayo sisi hatuhusiki nayo moja kwa moja ndo maana tunashindwa ku-spot uchakachuaji... wakitoa hiyo hoja unaweza kuwalaumu?

Ni vile tu hii nchi imetawaliwa na udini lakini wakati ule Ndalichako alistahili kuwa fired ingawaje watu wakaaanza kuhoji kuondolewa kwake licha ya tume kukiri kwamba NECTA imetoa matokeo yasiyo sahihi!!
 
Nimekuelewa sana,unaonaje hiyo project unayotaka kuanzisha kwa vijana WA kitanzania ya kuwapeleka Canada kwa ss tusiokuwa na elimu unatusaidiaeje,au mpaka tuwe na elimu ya kukaa ofisini?

Nimeshauri upitie tovuti ya ubalozi wa Canada (Canadian High Commission ) utakuta wanahitajika watu wa fani nyingi.

Anza kusomea kazi yoyote uipendayo, elimu haina mwisho.
 
Rais wa Marekani Donald Trump alitoa msimamo wake wakati wa kampeni kuhusu mpango wa kuwazuia Waislamu kuingia Marekani kwa muda ................... toa maoni yako.
 
Hahaha...even in nonsense there is still "sense"

If u wanna prove that remove the word "Non" and check the remaining.

Umegundua kiherehere chako cha kumjibia FF wakati hajakuomba umjibie? [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…