Faiza acha kumshutumu Ndalichako kuwa ni sababu ya kufeli kwa waislam
Waislam wanafeli kwa upumbavu wao wa kujali elimu Akhera zaidi na kupuuzia elimu Dunia, mtoto wa kiislam yuko tayari akakeshe Madrasa usiku mzimaa au akakeshe kwenye maulidi lakini si kukesha kujisomea (baadhi ambao ni the Most) Mfano mzur hapa kwetu ni kule visiwani Pemba watu wengi hawajasoma kule japo karibu woote ni waislamu halikadharika pwani pia, kwaiyo kufeli kwa Waislamu wala halikua ni jambo la Ndalichako na tunakuomba kama wewe ni Muislam safi futa hizo kauli kuwa NECTA chini ya Ndalichako ilikua ikiwahujumu waislamu, Kwanza NECTA haina jukumu hilo la kuweza kuwahujumu maana kazi ya NECTA ni kuandaa mitihani (Ambayo hufanywa na dini zote na hata waso Dini) Kusimamia shughuli nzima za ufanyaji wa Mitihani (hapa hushirikiana na baadhi ya walimu +Polisi kwa ajili ya usalama), usahihishaji wa Mitihani (hapa pia baadhi ya walimu huusika +usalama wa Taifa) na utoaji wa matokeo haya kwa mtililko huo tuambie ni wapi Ndalichako anaweza kuingiza kwato zake na kuwchukia Waislam na kuwapangia matokeo ya peke yenu mabaya mabaya mabovu mabovu!
NI DHAMBI KWA MTOTO WA KIISLAM KUONGEA VITU VYA UONGO USIVYO NA UHAKIKA NAVYO, LAKINI KUBWA ZAIDI KUONYESHA CHUKI ZA WAZI WAZI JUU YA MTU FULANI KUTOKANA NA JINA LAKE Joyce Ndalichako.