Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Dini ni imani na maisha ya kila siku

Dini ni mila yako uliochagua ili uka muone mungu kukukabidhi hesabu ya maisha yako hapa duniani na mbele yake sasa haijalishi umechagua mila gani kama ni ile alio leta isa mwana wa maria ama muhammad mwana wa amina
 
Sina chuki na Joyce Ndalichako bali nnauhakika si kiongozi mzuri, alivurunda kama mkuu wa NECTA mpaka baadhi ya Waislam wa Tanzania wakaandamana kumkataa. Jikumbushe:

Hahahaa jamaa walikua wanataka marks za bure bure ikala kwao!
 
Kwa hiyo haya ni maneno mawili tofauti yenye maana tofauti?
Je ni nini asili ya neno darasa ulivyoita jengo/vyumba?

Asili ya neno darasa ni madaris la kiarabu likimaanisha vyumba vya kudurusu, kusoma.
 
Post namba 300 nnaona kuna comment tu si swali. Unaweza kuuliza tena labda kuna baadhi ya post zimefutwa na kupoteza namba.
Hata hivyo big Up, unaonekana kuwa na Exposure kubwa sana kwenye areas mbalimbali.
 
Hoja dhaifu eti alivurunda kama mkuu wa NECTA,Ndalichako hamfanyii mwanafunzi mitihani.

Sasa NECTA ni nini kama si kazi yao kufanyia watoto mitihani na Ndalichako ndiye aliyekuwa mkubwa wa NECTA.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga ?
 
Huwa siandiki hivyo lakini aliyeuliza swali ndiyo alikuwa anayataka hayo.
Usijali hata hivyo ni tafsida nzuri kwani inaishia kuonekana kuwa nambari tu, hivyo kwa mgeni hawezi gundua chochote.
 
Nna shahada ya kwanza ya Electronics Engineering, Major in Telecommunications (Canada, 1982).
Mimi nina certificate ya electronics ya mwaka 2006 veta, je unaweza kunisaidia mwongozo nijiendeleze level gani na chuo gani bora kwangu kujiendeleza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…