nra2303
JF-Expert Member
- Jul 28, 2015
- 2,975
- 2,547
Una wajukuu wangapi bibi yetu??Nna shahada ya kwanza ya Electronics Engineering, Major in Telecommunications (Canada, 1982).
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una wajukuu wangapi bibi yetu??Nna shahada ya kwanza ya Electronics Engineering, Major in Telecommunications (Canada, 1982).
Hahahaa jamaa walikua wanataka marks za bure bure ikala kwao!Sina chuki na Joyce Ndalichako bali nnauhakika si kiongozi mzuri, alivurunda kama mkuu wa NECTA mpaka baadhi ya Waislam wa Tanzania wakaandamana kumkataa. Jikumbushe:
![]()
Hahaha...haya bana, sikuwahi kuona umeandika hivyo ndio maana nimeshangaa [emoji23]Si mnanifundisha nyinyi humu humu , si nnawasoma jamani tafsida zenu za kisasa.
Hata hivyo big Up, unaonekana kuwa na Exposure kubwa sana kwenye areas mbalimbali.Post namba 300 nnaona kuna comment tu si swali. Unaweza kuuliza tena labda kuna baadhi ya post zimefutwa na kupoteza namba.
Hoja dhaifu eti alivurunda kama mkuu wa NECTA,Ndalichako hamfanyii mwanafunzi mitihani.
Usijali hata hivyo ni tafsida nzuri kwani inaishia kuonekana kuwa nambari tu, hivyo kwa mgeni hawezi gundua chochote.Huwa siandiki hivyo lakini aliyeuliza swali ndiyo alikuwa anayataka hayo.
Mimi nina certificate ya electronics ya mwaka 2006 veta, je unaweza kunisaidia mwongozo nijiendeleze level gani na chuo gani bora kwangu kujiendelezaNna shahada ya kwanza ya Electronics Engineering, Major in Telecommunications (Canada, 1982).