Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Kuna hizi sheet za kufugia samaki .
Una uzoefu nazo unaweza jua zinauzwa wapi.
 
Who cares about biblia au Quran? jibu maswali sio kuhubiri hapa tukitaka kuhubiriwa tutaenda kanisani au msikitini.
 
Wote ni magaidi ila wamezidiana idadi.
 
Sasa NECTA ni nini kama si kazi yao kufanyia watoto mitihani na Ndalichako ndiye aliyekuwa mkubwa wa NECTA.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga ?

Kumbe mlitaka Ndalichako awafanyie mitihan?. Mtabaki kulialia tu
 
Kwa Mali zao, fafanua kidogo hapo


Mali, mali, mali. Unakuja kuposa binti mwenye mali zake nawe huijuwi mali, kutwa kushinda vibarazani, huijuwi dini, huna nasaba, unategemea u "handsome" wako tu, si kasheshe hiyo? Allah awajaalie vijana wetu wa kike na wa kiume wapate wenza wenye vigezo vyote hivyo kwa manufaa yao na vizazi vyao.
 
teh waambie mama.leo huendi kumuaga sitta?
 
Kweli Mkuu kwa mama aliegraduate 1982 kumuuliza swali kama hilo ni ukosefu wa maadili.
Kama ni kweli FF now atakuwa miaka kama 55 hivi ebu sometime tumpe heshima yake kwa kumuuliza maswali ya kutujenga.
 
Kumbe mlitaka Ndalichako awafanyie mitihan?. Mtabaki kulialia tu


Nnaona unajaribu kucheza na maneno. Kuna mtu juu huko kaelezea vizuri kabisa kuhusu Ndalichako.

Ndalichako siku hizo alizokuwa NECTA ndiyo lilikuwa jukumu lake kuwafanyia mitihani wanafunzi wote wa Tanzania, kilichotokea? Waliofanya mitihani ya Islamic Knowledge wote wakafeli. Kwanini ? Rejea habari za wakati huo na Waislam kuandamana ndiyo utajuwa kuwa Ndalichako alikuwa nyuma ya hilo kasheshe.

Kwanini watu waandamane kumsingizia Ndalichako? Walishawahi kufanya hivyo kwa mwengine? Fikiri kabla hujajibu.

Punguani wahed.
 
Hembu nisaidie kiswahili sanifu kwa mfano ikitoke kiongozi yeyote akifariki dunia au mtu wa serikali wamekuwa wakiandika au kutangaza Rais amlilia fulani je ni sawa nikweli alilia machozi na walimwona akilia mimi nadhani kuna mapungufu hapa hembu tupe kiswahili mujarabu
 
teh waambie mama.leo huendi kumuaga sitta?


Sitta kishajiondokea zamani, wanajitesa tu kumuweka mpaka leo. Allah amhukumu kwa amal yake ya alipokuwa hai.

Inna li Lllahi wa Inna Ilayhi Rajiun.
 


Kulia si lazima utoke machozi ati. Mbona tunasema "paka analia"? Uliwahi kumuona paka akilia machozi?

Ni lugha tu ya kuonesha majonzi ya kuondokewa na wala siyo kesi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…