Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Kuna hizi sheet za kufugia samaki .
Una uzoefu nazo unaweza jua zinauzwa wapi.
 
Who cares about biblia au Quran? jibu maswali sio kuhubiri hapa tukitaka kuhubiriwa tutaenda kanisani au msikitini.
 
Kuuhusisha Uislam na ugaidi ni kutoutendea haki (soma post namba ), isitoshe, nimesoma katika tovuti moja ya tafiti na imeandika kuwa zaidi ya 90% ya ugaidi uliofanywa America haukufanywa na Waislam, jisomee:

Non-Muslims Carried Out More than 90% of All Terrorist Attacks in America

Terrorism Is a Real Threat … But the Threat to the U.S. from Muslim Terrorists Has Been Exaggerated

An FBI report shows that only a small percentage of terrorist attacks carried out on U.S. soil between 1980 and 2005 were perpetrated by Muslims.

Princeton University’s Loon Watch compiled the following chart from the FBI’s data:



piechart2.jpg
Terrorist Attacks on U.S. Soil by Group, From 1980 to 2005, According to FBI Database


According to this data, there were more Jewish acts of terrorism within the United States than Islamic (7% vs 6%). These radical Jews committed acts of terrorism in the name of their religion. These were not terrorists who happened to be Jews; rather, they were extremist Jews who committed acts of terrorism based on their religious passions, just like Al-Qaeda and company.


Soma zaidi: http://www.globalresearch.ca/non-mu...0-of-all-terrorist-attacks-in-america/5333619






Sasa jibu, ni nani gaidi kwa hayo?
Wote ni magaidi ila wamezidiana idadi.
 
Sasa NECTA ni nini kama si kazi yao kufanyia watoto mitihani na Ndalichako ndiye aliyekuwa mkubwa wa NECTA.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga ?

Kumbe mlitaka Ndalichako awafanyie mitihan?. Mtabaki kulialia tu
 
Kwa Mali zao, fafanua kidogo hapo


Mali, mali, mali. Unakuja kuposa binti mwenye mali zake nawe huijuwi mali, kutwa kushinda vibarazani, huijuwi dini, huna nasaba, unategemea u "handsome" wako tu, si kasheshe hiyo? Allah awajaalie vijana wetu wa kike na wa kiume wapate wenza wenye vigezo vyote hivyo kwa manufaa yao na vizazi vyao.
 
Mali, mali, mali. Unakuja kuposa binti mwenye mali zake nawe huijuwi mali, kutwa kushinda vibarazani, huijuwi dini, huna nasaba, unategemea u "handsome" wako tu, si kasheshe hiyo? Allah awajaalie vijana wetu wa kike na wa kiume wapate wenza wenye vigezo vyote hivyo kwa manufaa yao na vizazi vyao.
teh waambie mama.leo huendi kumuaga sitta?
 
Ametangulia kusema "General Knowledge." Sasa ukijua bikira yake imetolewa lini itakusaidia nini?!

Uzuri wa FF sio mtu wa matusi lakini wewe ulistahili sana hata kama angekutukana! Hivi pamoja na yote; unapata wapi ujasiri wa kumuuliza mwanamke katolewa lini bikira?! Mbaya zaidi mwanamke mwenyewe anakuambia ame-graduate 1982! Hawezi kuwa sawa na mzazi wako huyu kiumri?!
Kweli Mkuu kwa mama aliegraduate 1982 kumuuliza swali kama hilo ni ukosefu wa maadili.
Kama ni kweli FF now atakuwa miaka kama 55 hivi ebu sometime tumpe heshima yake kwa kumuuliza maswali ya kutujenga.
 
Kumbe mlitaka Ndalichako awafanyie mitihan?. Mtabaki kulialia tu


Nnaona unajaribu kucheza na maneno. Kuna mtu juu huko kaelezea vizuri kabisa kuhusu Ndalichako.

Ndalichako siku hizo alizokuwa NECTA ndiyo lilikuwa jukumu lake kuwafanyia mitihani wanafunzi wote wa Tanzania, kilichotokea? Waliofanya mitihani ya Islamic Knowledge wote wakafeli. Kwanini ? Rejea habari za wakati huo na Waislam kuandamana ndiyo utajuwa kuwa Ndalichako alikuwa nyuma ya hilo kasheshe.

Kwanini watu waandamane kumsingizia Ndalichako? Walishawahi kufanya hivyo kwa mwengine? Fikiri kabla hujajibu.

Punguani wahed.
 
General Knowledge.

Naam, kama kichwa cha habari kinavyojieleza.

Natumia fursa hii ya mtandao adhyim wa JF kuwapa fursa wanamtandao wote wapate fursa ya kuuliza kuhusu mada au jambo lolote ambalo unataka upatiwe majibu.

Si majibu yote yatatoka kwangu binafsi, bali nitajitahidi iwezekenavyo kukupatia majibu murwa na yanayolingana na swali lako na ambapo sina jibu itakuwa fursa kwa wengine kutoa majibu.

Hapa ni kwa ajili ya kuelimishana na kujuzana bila kikomo, iwe swali lolote liwalo.

Update 1: Tafadhalini tuulize maswali kiheshima . Heshima ni kitu cha bure na hii JF yetu pendwa inasomwa na wengi, tujiheshimu.
Hembu nisaidie kiswahili sanifu kwa mfano ikitoke kiongozi yeyote akifariki dunia au mtu wa serikali wamekuwa wakiandika au kutangaza Rais amlilia fulani je ni sawa nikweli alilia machozi na walimwona akilia mimi nadhani kuna mapungufu hapa hembu tupe kiswahili mujarabu
 
teh waambie mama.leo huendi kumuaga sitta?


Sitta kishajiondokea zamani, wanajitesa tu kumuweka mpaka leo. Allah amhukumu kwa amal yake ya alipokuwa hai.

Inna li Lllahi wa Inna Ilayhi Rajiun.
 
Hembu nisaidie kiswahili sanifu kwa mfano ikitoke kiongozi yeyote akifariki dunia au mtu wa serikali wamekuwa wakiandika au kutangaza Rais amlilia fulani je ni sawa nikweli alilia machozi na walimwona akilia mimi nadhani kuna mapungufu hapa hembu tupe kiswahili mujarabu


Kulia si lazima utoke machozi ati. Mbona tunasema "paka analia"? Uliwahi kumuona paka akilia machozi?

Ni lugha tu ya kuonesha majonzi ya kuondokewa na wala siyo kesi.
 
Back
Top Bottom