Mimi si muha lkn nawajua nyie hizo ndio kauli zenu kila sikuAcha kutetea mtu kwa ajili ya ukabila wako
mimi naomba tuishen ya classical control systems.
FaizaFoxy Hapa nchini pametokea kudorora sana kwa elimu yetu kuanzia ngazi ya msingi hadi elimu ya juu. Leo hii kijana anayehitimu elimu ya darasa la saba hawezi hata kuandika barua ya kirafiki vijana wanaomaliza elimu ya juu wanaonekana hawana ujuzi ukilinganisha na vyeti vyao. Hili limekuja zaidi miaka kuanzia ya 2000 na kupanda juu
1. Unakubaliana na hili?
2. Nini sababu ya hili
3. Nini mapendekezo yako kunusuru hali hii?
Asante sana.
Mambo mengi mimi nilikuwa siyajui, shukran FaizaFoxy. Hebu naomba fafanua kidogo hapo juu, kumbe siyo wawili, watatu au wanne!Jee, unajuwa katika vitabu vyote vya dini ni Qur'an pekee iliyosema oeni "mmoja tu"?
Duu kumbe haupo Tanzania huku wenzio jua kali kila kukicha afadhali ya jana .Ma sha Allah tabaraka Allah, hapa nilipo sasa hivi inakaribia saa nane za usiku.
Nnakutakieni Ijumaa njema.
Naomba unijuzu ktk swala ya msafiri, ww umetoka ugenini unaelekea nyumbani ( maksz yko) ukanuia kukusanya mfano swala ya dhuhur na laswiri ,ukafka ktk wakati wa swala ya al- asri je hzi swala unaziswalije?
Haaaa sasa hii kamba sasa mbona huku mitaani jamaa wanajitapa hivyo mtu wake wanne na akiwa na hela za kubadilishia mboga basi ni balaa wanajificha na mwavuli wa dini au kwa vile imeandikwa kiarabu hawaelewi?Jee, unajuwa katika vitabu vyote vya dini ni Qur'an pekee iliyosema oeni "mmoja tu"?
Aaaaa Bi mkubwaa we huoni hapo kwenye moja mbili tatu hahahaa nshakusoma mwanamke una wivu wewe balaa si ajabu babu alishindwa kukuongezea mke mwenza kutokana na mikwara uliyompa uwongo[emoji12]Nioneshe wapi biblia imesema hivyo.
Halafu unaonesha link niliyokuweka hujaisoma. Jisomee:
Qur'an 4:
3. “Na ikiwa mnaogopa kuwa hamtowafanyia mayatima uadilifu, basi oeni mnaowapenda katika wanawake, wawili au watatu au wane. na mkiogopa kuwa hamwezi kufanya uadilifu, basi mmoja tu...” An-Nisaa: 3
Bi mkubwa unaogopa kuishika Biblia Takatifu kwani una mapepo?Iweke hapa, wacha porojo za kuweka manamba pekee.
kwa mujibu ya imani yako ni sawaNi vyema sana.
Mimi sijapata kupaona ila nimeona Yesu Alayhi Salaam akisema kuwa yeye katumwa.
ok hata kuamini ni sawaTofautisha kuamini na kufuata
nilimuuliza yeye sio weweSijamjibia nimechangia. Kama unaona mchango wangu haukufai unaweza kuupotezea tuu hulazimishwi
Kwahiyo unakubaliana na hawa makafir wa Uingereza mfumo wao wa elimu ni safi? Na wakupigiwa mfano?1) Nakubaliana kuwa kiwango cha elimu kimeshuka sana lakini huo mwaka 2000 sikubaliani nao, mimi naona elimu iliporomoka kwa kasi kuanzia mwaka 1967 tulipotangaza azimio la Arusha.
2) Tulipoanza siasa za ujamaa tukabadili mitaala yote tuliyoirithi kwa Muingereza na kuanza kufundisha ujamaa na kuupachika katika kila somo na ilhali falsafa ya ujamaa wenyewe uliotakiwa akiijuwa mtu mmoja tu.
3) Tu adopt mifumo ya elimu iliyofanikiwa duniani. Zipo nchi nyingi zilizofanikiwa ki elimu, ni vyema tukaisoma kwa makini mifumo yao na kui adopt hapa kwetu. Mifumo yetu yote kuanzia 1967 hadi hii leo, imefeli.
Wadhu - hr umekukuta njian wa al- asr umekukuta nyumbn
Si Waingereza wote ni makafir na elimu haina mipaka labda iwe inakufundisha kuwa binadam anaekula kama wewe na kwenda haja kama wewe kuwa ni Mungu, hiyo ndiyo elimu ya ukafiri.Kwahiyo unakubaliana na hawa makafir wa Uingereza mfumo wao wa elimu ni safi? Na wakupigiwa mfano?