Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Mimi nataka kujua kama una watoto pia, lakini si kwa ubaya, ni kwa sababu napenda sana watoto. Je, una watoto? Je, umeolewa?
Maswali hayo nimeshayajibu zaidi ya mara moja kwenye uzi huu huu, nnakushauri upitie uusome kwa faida yako kabla hujakurupuka.

Tatizo moja kubwa la vijana wa Kitanzania ni uvivu wa kusoma.
 
Maswali hayo nimeshayajibu zaidi ya mara moja kwenye uzi huu huu, nnakushauri upitie uusome kwa faida yako kabla hujakurupuka.

Tatizo moja kubwa la vijana wa Kitanzania ni uvivu wa kusoma.
Mbona unatokwa povu sana ukiulizwa kuhusu kuolewa na watoto? Kwani ukisema we mgumba utapungukiwa nini bi mkubwa?
 
Pitia video zake, zipo nyingi na uncut unedited, ana mengi yanayoingia akilini na nimependa style yake ya kuhutubia "raw" tena Hyde Park. Freedom of speech at its best.
 
FaizaFoxy najua ww ni kada mkubwa unaeshinda lumumba 24hrs..
Nashindwa kukusoma mbona hushughuliki na Mr.POMBE uliekuwa ukimpigia chapuo kila uchao.
Kwa sasa umikuwa kimyaaaaa!!!
Sikusikii kumpongeza kumsifia..
Au ndo tumeisoma namba pamoja?
Au ndo kwakuwa umikomalia msikiti kwahiyo Mr. POMBE ni najis kwako?
 
Kujiripua = Kujilipua

Hivi huko shule mlienda kusomea ujinga?
 
Mbona unatokwa povu sana ukiulizwa kuhusu kuolewa na watoto? Kwani ukisema we mgumba utapungukiwa nini bi mkubwa?
Nnaona povu linakutoka wewe, ninekujibu hivi:

Maswali hayo nimeshayajibu zaidi ya mara moja kwenye uzi huu huu, nnakushauri upitie uusome kwa faida yako kabla hujakurupuka.

Tatizo moja kubwa la vijana wa Kitanzania ni uvivu wa kusoma.

Au u mvivu tu wa kujisomea na unapenda shortcuts?
 
Ni MKARA...[emoji84]
MGALATIA[emoji203]
Kwa nini humpendi Nyerere (baba wa taifa)?
 
Ukisoma huelewi basi hata picha huoni? Nipo kimya kivipi na huu uzi pekee unaonesha sipo kimya?

Pombe si najisi ni haramu. Najisi ni nguruwe tena hata kuugusa tu mzoga wake imekatazwa kwa mujibu wa Biblia.

Jee unaswali lolote ujibiwe, soma post namba moja, au na wewe ndiyo walewale?
 
Mwanamke mwenye zaidya umri wa miaka 65 anaweza kuwa na hamu ya tendo la ndoa? na mwisho wake wa kuacha kutamani kugegedwa ni miaka mingapi?
 
Ni kweli kuwa Quran inasema kuwa majini yaliumbwa na Mungu ili yamwabudu? Je ni kweli kuwa majini walikuwa ni marafiki wa karibu wa mtume Muhammad? Je ni kweli kuwa waislamu huwa mnaabudu pamoja na majini huko misikitini? Albadir ni nini?
 
Hapa naanza kukusoma kidogo kumbe uswahiba wako umebakia LUMUMBA tu.
Ila kwa Mh. POMBE ni najisi/haram kabisaa na hutokaa kumpongeza kwa juhudi zake anazozionyesha kunyoosha inchi bila katiba mpya[emoji196]
WEWE NA Mh. POMBE ni mbali kabisaaaa
MCHILIMICHE BACHI[emoji547]
 
Tunataka kama ile ya Mbowe, ilikuwa division ngapi vile?

Halafu nnaomba kukuuliza, neno kudisco na division ya Mbowe zina uhusiano wowote? Kuna uwezekano kuwa neno hilo maarufu lilianzia hapo?
weka ushahidi hapa kuwa mbowe alipata zero
hizo propaganda zilishachuja
 
Nakuomba kwa upendo , bidii , na muda huo huo ISOME BIBLIA then utakuwa kwenye usawa wa kujua ni nini juu ya nini Please
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…