FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
- Thread starter
- #881
Maswali hayo nimeshayajibu zaidi ya mara moja kwenye uzi huu huu, nnakushauri upitie uusome kwa faida yako kabla hujakurupuka.Mimi nataka kujua kama una watoto pia, lakini si kwa ubaya, ni kwa sababu napenda sana watoto. Je, una watoto? Je, umeolewa?
Tatizo moja kubwa la vijana wa Kitanzania ni uvivu wa kusoma.