Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Nnakushauri hapo ulipo nenda msikitini kaonane na immam na umueleze hilo naye atakuwa msaada mkubwa sana kwako.
Ushauri wa busara sana huu. Ili kuijua Qur-aan ni lazima na ni muhimu sana kuisoma kwa mwalimu.
Kuna suala la utamkaji,wapi usimame,wapi uunge nk. Na hii njia(talqiin) ndio njia ya asili ambaya Jibriil aliitumia kumfundisha Mtume.
Hivyo hii ndio njia bora. Mwalimu asome kisha mwanafunzi amfuatilize.
 
Kuna suala la Wanawake viongozi wa serikali kuaga mwili wa marehemu Jana.. Limezua sintofahamu juu ya uhalali wao kufanya hivyo Kama Wanawake wa kiislam.. Wewe unalisemeaje hilo..
 
Maelezo yko nimeyasoma cna na kuyaelewa, swala langu post [HASHTAG]#1051[/HASHTAG] nitolee maelezo yake binafsi ni swala ambalo linanipa utata cna!
 
Nisaidie Nna demu Wa kislam na mm mgalatia , ntaweza kumuoa maana nmechoka kugegedana nae bila ndoa
 
Nisaidie Nna demu Wa kislam na mm mgalatia , ntaweza kumuoa maana nmechoka kugegedana nae bila ndoa


Hautoweza kumuoa na mnachofanya si kizuri, jisomee:

1 Wakorintho 6
9 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti
 


Naam, umenena vyema kabisa. Nyinyi hakuna anaepata Division 0, mnaweza pia kutujulisha mnawezaje kufanya bila division 0.

Msalimie Mbowe.
 
usije tu kufundisha watu namna ya kujilipua. kuwa makini tafadhali.tutakukamata.
 
usije tu kufundisha watu namna ya kujilipua. kuwa makini tafadhali.tutakukamata.

Una maana kuwa wakimbizi? Maana wapo Watanzania wengi wamejiripua namna hiyo sijuwi nani aliwafundisha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…