babu na mjukuu
JF-Expert Member
- Jun 23, 2016
- 3,916
- 6,697
Ushauri wa busara sana huu. Ili kuijua Qur-aan ni lazima na ni muhimu sana kuisoma kwa mwalimu.Nnakushauri hapo ulipo nenda msikitini kaonane na immam na umueleze hilo naye atakuwa msaada mkubwa sana kwako.
Kuna suala la utamkaji,wapi usimame,wapi uunge nk. Na hii njia(talqiin) ndio njia ya asili ambaya Jibriil aliitumia kumfundisha Mtume.
Hivyo hii ndio njia bora. Mwalimu asome kisha mwanafunzi amfuatilize.