Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Haya ndio masuali.

Mimi sikuwahi sikia, leo ndio mara yangu ya kwanza.

Naendelea kupitia michango ya Wachangiaji walontangulia, bila shaka ntakutana na jibu au majibu Safarini mwangu.

Kwa kweli nafaidika/nanufaika mengi hapa
 
BAARAKALLAHU FIIKA/BAARAKALLAHU FIIKI
 
Swali;je mwanamke wa kiislamu anaweza kuolewa na mwanamme wa kikristo au vise versa wakaoana bila kufunga ndoa ya kanisani au msikitini wakafunga ya boman na je uislamu unaruhusu hilo?
 
Nimesema HIKMA, sikusema KHUTBA.

Au wewe mwenzangu huelewi nini maana ya HIKMA!

Hivi hizo Shule mnaenda kusomea ujinga? (Kwa sauti ya Bibie FAIZA).

Jibu Swali

Hii nayo ni khutba...
 
Faiza, kwani ni lazima binaadamu kuwa na Dini ili aende paradiso au peponi?
 
Haya ndio masuali.

Mimi sikuwahi sikia, leo ndio mara yangu ya kwanza.

Naendelea kupitia michango ya Wachangiaji walontangulia, bila shaka ntakutana na jibu au majibu Safarini mwangu.

Kwa kweli nafaidika/nanufaika mengi hapa
Mie mwenyewe nilikuta mazungumzo sehemu lkn watu hawakufikia mwafaka... jana kwa bahati nilikuta kwenye group moja la wanakariakoo kuhusu mjadala huo huo akatokea mtu mmoja akasema japo hakumbuki vizuri lkn kumbukumbu zake zinasema hapo kabla mtaa huu ulipewa jina la Queen Victoria. Ngoja tusubirie uthibitisho hapa.
 
Swali;je mwanamke wa kiislamu anaweza kuolewa na mwanamme wa kikristo au vise versa wakaoana bila kufunga ndoa ya kanisani au msikitini wakafunga ya boman na je uislamu unaruhusu hilo?
Quran surat ya 2 aya ya 221 inasema

. Na wala msiwaoe wanawake washirikina mpaka waamini. Na mjakazi Muumini ni bora kuliko mshirikina japo akikupendezeni. Na wala msiwaozeshe (wanawake wa Kiislamu) wanaume washirikina mpaka waamini. Na mtumwa Muumini ni bora kuliko mshirikina japo akikupendezeni. Hao wanaita katika moto na Allaah Anaita katika Al-Jannah na maghfirah kwa idhini Yake. Na Anabainisha Aayaat (na shariy’ah) Zake ili wapate kukumbuk
 
Hii nayo ni khutba...
Hapana, hiyo nayo si KHUTBA.

Nitakupa Darsa la KHUTBA kiundani zaidi.

Nataka tumalize hatua moja kwanza, kisha tuendelee hatua inayofuata.

Mimi sitokuwa tayari kukuacha bila kukupa FAIDA, ni Deni hilo ujue kwa upande wangu.

Mimi na Madeni ni vitu viwili tofauti.

Hakuna kama MAMA, tuwaheshimu sana MAMA zetu, wakina Mama wana Darja kubwa sana.

Je wafahamu PEPO iko chini ya nyayo za wakina MAMA?, nikiwa na maana mnyenyekee sana MAMA ako/yako ili uione/uipate PEPO.

AL JANNAT TAHTA AQDAAMI UMMAHAAT.

Naona umekwepa, na kulikimbia Swali langu.

Hivi sijui nikuulize mara ngapi ili upate kunielewa.

Mama ako/yako Mzazi yuhai au hayuhai?

Jibu Swali
 
Ahsante sana.

Tusubiri, ili tupate kunufaika kwa faida ya wote
 
Ita jina lolote, qasida, kisamvu, susumia, singeli...kivyako Dogo...who cares..
 
eti deen njia...hhhhhhh...

Qur'an 28:
10. Na moyo wa mama yake Musa ukawa mtupu. Alikuwa karibu kumdhihirisha, ingeli kuwa hatukumtia nguvu moyo wake ili awe miongoni mwa Waumini.
 
Abubakar, Anasema: "Hakika mimi ninae shetani hunifikia mara kwa mara, basi wakati wowote atakaponifikia muniepuke" (Tabaqatul Kubra, J. 3 Uk. 212)

SASA KAMA "QURAN" KILIANDIKWA NA MTU ALIYEKUWA NA SHETANI, KWA NINI TUSIKUBALI KUWA NI AYA ZA SHETANI?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…