Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Tatizo ni kupiga magoti kwenye benchi na kuitikia ndioo... Unashindwa hata kutafakari
 

Jee, unajuwa kuwa Muhammad Ali alikataa jina lake lisiwekwe barabarani katika "walk of fame"? Ambako ma star wakubwa wengi wana majina yao hapo? Jina lake pekee ndiyo lipo juu ukutani na halikanyagwi na mtu. Jionee:

Why Ali's Hollywood star is on a wall (not the ground)
HOLLYWOOD, Calif.

— You'd literally need to float like a butterfly to walk on Muhammad Ali's Hollywood star.


But why is the star on the wall?

Ana Martinez, the producer of the Walk of Fame ceremonies, says Ali "did not want the name of Muhammad to be stepped on," and so in 2002, Ali's star was ceremoniously presented on an easel (as opposed to being unveiled on the ground, like the others) and then put on the wall at the entrance to what is now called Dolby Theatre.

As for why Ali received an honor that is generally reserved for filmmakers, actors and musicians, Martinez explains: "He was a showman. He had two Grammy-nominated spoken word albums. He was an entertainer, as well."





 
Ita jina lolote, qasida, kisamvu, susumia, singeli...kivyako Dogo...who cares..
Who cares?

You cared enough.

Well, You sound troubled as this Question looks like too much for you.

Better take a Chill Pill
 
Mama heshima kwako!! Ukiwa kama muislamu, unaamini kabisa kuwa biblia ni kitabu cha sanaa kama vitabu vingine I.e Ngoswe Penzi Kitovu cha Uzembe, na kwakuwa pia unaonekana kuwa umeisoma sana biblia je, utakubaliana na Mimi kuwa watu wazamani walikuwa na akili nyingi zaidi kuliko sasa, ukizingatia utunzi wa biblia na ujenzi wa piramidi.!?
 

Soma: Nani Aliandika Biblia? | Alhidaaya.com
 
Thanks! But mantiki yangu sio mjadala wa dini kuhusu ukweli na usikweli wa biblia, soma swali vizuri then unijibu mama!! Mi ni mfuasi wako kindakindaki, usiniangushe kwa majibu mepesi.

Wala sipo hapa kubishana. Hapa ni uwanja wa kuelimishana ni vyema tukaijuwa Biblia ni nini na nani walioiandika kwani maswali yako yamegusia Biblia na umefikia mpaka kuamini kuwa mimi "kama muislamu, unaamini kabisa kuwa biblia ni kitabu cha sanaa kama vitabu vingine I.e Ngoswe Penzi...".

Kwa hilo na kama umeipitia link niliyokubandikia na kuisoma, jee ilivyofafanuliwa Biblia unakukubali au la?

Kuhusu maswali yako yaliyobaki ntarudi kuyajibu lakini ni vyema kwanza tukaliweka sawa hilo la Biblia.
 
Waliosomea ujinga ni watu kama wewe, unayefikiri kuongea kiarabu au kiswahili ndio uarabu.
Mbona wazenji wanaojiita ni waarabu, hukanwa wakienda middle East? Wewe mwenyewe na uarabu-koko wako ukienda kule wanakukataa kuwa wewe ni mwarabu.


Naam, wanakanwa kwa sababu si Waarabu wa "Middle East" ni Waarabu wa Zanzibar.

Napenda uelewe kuwa "wazenji" kujiita Waarabu siyo kosa kwani wana historia ndefu ya kale kuwa ni nchi ya Kiarabu, tena siyo kuwa iliishia huko visiwani tu.

Hata hapo Tanganyika na zaidi ya Tanganyika iliwahi kuwa "Zenji". Jee unajuwa maana ya "Zenji"? Hilo ni neno la Kiarabu kabisa 100%.

Pata historia ya Dola ya "Zenj Empire" kwa ufupi:

 
Huwa sipendi kubishana pia, nimekuuliza hilo swali sio kwa kuwa mi siamini biblia, hapana, kwakuwa wewe ni muislam na huiamini biblia. kwanza lazima ujue kwa imani tofauti tulizonazo lazima wakristo waone Quran ni fake na waislamu wataiona Bible ni fake!! Sasa from your point of view as a muslim, how genius and creative the writers were!! Basing even on pyramids building!! Je, yawezekana watu wa zamani walikuwa most intelligent than us!!?
 

Nnaamini kuwa biblia zipo na nnazi quote mara nyingi sana, siamini kama ni maneno yote yaliyomo kwenye biblia ni ya Mwenyeezi Mungu, nnaamini maneno mengi sana ni ya mikono na fikra za watu kama ushahidi uliomo ulivyoisoma link niliyokuwekea.

Ukitaka kujuwa kwa urahisi ipi ni "fake" inabidi uzisome zote mbili kwa muono mpana na bila kuwa biased. Tunaweza kuanza kujadili hilo ili tujikinahishe.

Mengine ntakujibu usijali. Nnapekuwa references zangu.
 
Nani yupo kwenye njia sahihi?... why wana tofauti zinazosababisha hadi kuuana?
 
Nani yupo kwenye njia sahihi?... why wana tofauti zinazosababisha hadi kuuana?

Jisomee Qur'an inafundisha nini:

Qur'an 5:
32. Kwa sababu ya hayo tuliwaandikia Wana wa Israili ya kwamba aliye muuwa mtu bila ya yeye kuuwa, au kufanya uchafuzi katika nchi, basi ni kama amewauwa watu wote. Na mwenye kumuokoa mtu na mauti ni kama amewaokoa watu wote. Na hakika waliwajia Mitume wetu na hoja zilizo wazi. Kisha wengi katika wao baada ya haya wakawa waharibifu katika nchi.
Maelezo
 
Qur'an 28:
10. Na moyo wa mama yake Musa ukawa mtupu. Alikuwa karibu kumdhihirisha, ingeli kuwa hatukumtia nguvu moyo wake ili awe miongoni mwa Waumini.
mama yake Musa ndio nini?¿
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…