Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Kwani wewe umekuja kurejea kichwa cha Habari au umekuja kujibu hoja? Kwaiyo kwa kua mimi sio faiza hata Faiza akijibu kwa kupotosha tukubali tu! Sasa Faiza kasema Ndalichako na baraza la mitihani lilifelisha waislam je wewe unakubali? Toa maoni yako
Mbona hujanitag nije kuona madini unayotema ladyaj??
 
Wewe umesema mimi naongea upuuzi (umeuita kwa namna yako ) sasa nimekwambia ni tag hoja zako za maana, unajua nn Mkuu JF sio mahali pa kudharauliana kujiona mtu unajua kuliko mwingine kuona mwenzio amaongea upuuz wakati wewe hujaambatanisha hoja zako, pingana kwa hoja usipingane kwa kashfa , ni hayo tu usiku mwema
 
Mimi sikukudharau, ila ulichokisema sio kizuri kabisa, faiza kasema aulizwe swali lolote lile alafu wewe unakuja kumwambia jamaa asimchoshe bi faiza, wewe unaona hapo ulifanya kitu kizuri?
 
Kwa zaidi ya wiki tatu mpenzi wangu amekuwa akiniambia hapati hisia zozote anapokuwa faragha na mimi. Imefikia kipindi anaomba nimpe break aweze kujitafakari kama andelee kuwa na mimi au tuachane kabisa. Na mimi bado nampenda.

Je nifanye dada faiza, naomba ushauri.
 
Muoane .
 
Back
Top Bottom