Tetramelyz
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 4,364
- 12,456
Mbona hujanitag nije kuona madini unayotema ladyaj??Kwani wewe umekuja kurejea kichwa cha Habari au umekuja kujibu hoja? Kwaiyo kwa kua mimi sio faiza hata Faiza akijibu kwa kupotosha tukubali tu! Sasa Faiza kasema Ndalichako na baraza la mitihani lilifelisha waislam je wewe unakubali? Toa maoni yako