Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Unalichukuliaje swala la wanafunzi wengi waliomaliza kidato cha sita mwaka huu na wanaoendelea na masomo kukosa mikopo au kupata kiasi kidogo kisichokidhi mahitaji tofauti na miaka mingine iliyopita?

Unahisi kwamba kigezo cha mwanafunzi kusomea shule ya binafsi (either a'level, o'level au kote, bila kujali kama amepewa ufadhili) ni sahihi kuzingatiwa ili mwanafunzi aweze kukopeshwa? (Kwa maana ndicho kigezo kikuu ambacho bodi ya mikopo wametumia)

Je umelifurahia jambo hilo au limekusikitisha na kwanini?

Je una maoni gani au ushauri upi kwa serikali ya ccm kuhusiana na jambo hilo?

Sipendelei kuona mwanafunzi yoyote anakosa mkopo.

Kwa upande wa pili, ingependeza sana wanafunzi waliokopeshwa awali walipe bila shuruti ili serikali ipanuwe wigo wa mikopo kwa wanafunzi.
 
Kwanini unakula nguruwe huku ukijinasibu WEWE ni Mwislamu safi?
Sili nguruwe.

Nguruwe msimle; ana kwato zilizogawanyika lakini hacheui; kwenu ni najisi. Kwa sababu wanyama hao ni najisi msile nyama yao wala msiguse mizoga yao”(Walawi 11: 7 – 8)

Vipi, wewe unakula nguruwe ilhali aya hiyo ya Biblia imekataza tena inasema wazi kabisa kuwa ni najisi?
 
Makaburi ya Adam na Hawa yako wapi?Kwa nini wataalam wa historia wanashindwa kuyafukua ili fossils zake zipimwe kujua umri wao na baada ya hapo wangejumlisha siku sita Mungu alizofanya kazi kuumba vitu vingine ili tuwe na uhakika dunia iliumbwa lini.
 
Kwa nini dunia nzima wanaopenda kupigana na vurugu chungu nzima ni Waislamu tu,Angalia Nigeria,Libya,Syria,Yemen ,Iraq,Afaghanistan,Somalia na Uarabuni kwenyewe.
 
Kwa nini Waislamu wanafanya maamuzi kwa niaba ya Mungu.Kwa mfano ukikashifu Uislamu utaadhibiwa na Waislamu badala ya kumwachia Mungu.Ina maana Mungu wa Waislamu hana uwezo?
 
Je ni kweli wewe FaizaFoxy una support TOHARA kwa WANAWAKE? na je, wewe ULIKEKETWA ukiwa na umri gani!?

NB: Nimeongea kutokana na experience, kuna post yako ulisema raha ya "K" iliyokeketwa ni murua sana!

Kwanza usichanganye "tohara" na "kukeketa" ni vitu viwili tofauti kabisa.

Tanzania kuna makabila mengi sana yenye mila za kukeketa lakini nnaamini mila hizo hazihusiani na dini zao.

Halafu hilo la "expirience" yako, si ukweli na kama u mkweli weka ushahidi.
 
Kwa nini dunia nzima Waarabu ndio wa pili wa mwisho kwa ujinga baada ya Waafrika wakati ustaraabu ulianzia Uarabuni.
 
Katika taaluma (siyo rasmi) nilizowahi kusoma ni kuwa, unazaliwa mwanamke siku mama alipopata mimba aliwahi kufika na unazaliwa mwanamme siku baba aliwahi kufika.
Kufika wapi?
 
Sili nguruwe.

Nguruwe msimle; ana kwato zilizogawanyika lakini hacheui; kwenu ni najisi. Kwa sababu wanyama hao ni najisi msile nyama yao wala msiguse mizoga yao”(Walawi 11: 7 – 8)

Vipi, wewe unakula nguruwe ilhali aya hiyo ya Biblia imekataza tena inasema wazi kabisa kuwa ni najisi?
Kama nguruwe ana kwato na hacheui hivi vitu vina nguvu gani ya kumzuia mtu asimwabudu Mungu? Sio mizoga ya nguruwe tu,hata ya kuku,ng'ombe,mbuzi,kondoo,ngamia nk.vyote ni najisi na haramu.Sidhani kama kuna binadamu anaekula mizoga kama fisi.
 
Ibada ni pamoja na kufata yote na si kuchaguwa ya kufata.

Linalokatazwa usilifanye na linaloruhusiwa usiliache kama halina madhara au karaha kwako na kwa wengine.
 
Back
Top Bottom