Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Elimu ilivyouliwa wakati wa Nyerere ndiyo ilinifanya nihame Tanzania.
  • Basi wewe ulikuja baada yangu. We had the best education na wakati huo tunafundishwa kila kitu kwenye Geography ambayo ukiongea na watoto wa sasa hivi hawajui. Tuliweza kutaja majimbo yote ya Canada yaliyolima ngano na kusafirisha miti pamoja na USA. Waulize sasa hao wa sasa.Nahisi wewe una mix race ya kiarabu sababu Canada wapo wengi waarabu na wahindi waliokimbia wakati wa azimio la Arusha. Sasa mimi kajamba nani mtoto wa mkulima mtoto ambaye hajawahi fika hata makao makuu ya wilaya ningekimbilia wapi yarabi? Tulilimishwa, tulifanya kila kitu lakini ilitujenga kiufikra na kiakili. Wewe kwenda nje ulipata Accedemic advantage but kimaisha hukuelimika. Jkt ilitukomaza tukajua jinsi ya kuishi on top of that mtoa amri angewadekeza wanae tungelalamika lakini wanae tulisota nao kama kawa siyo hao unaofikiri waziuri wakati watoto wao wanaenda nja na Feza. nani mtoto wa mwalimu alivuka mpaka kusoma?
 
haa inaelekeaa nikiongeza neno utamwaga kuku kwenye mchele mwingi ............ kwahiyo upo canada hahaha
Canada tena? Umemtaja mtu ambaye namjua mwanzo mwisho, sio yeye namjua babaye na mamaye na ndugu zake wooooooote nawajua mpaka asili yao walikotoka nawajua.

Mama mahiza angesoma hiyo 1982 akawa na degree asingekuwa mwalimu mama, mpaka hapa juzi kikwete ndio kampa ulaji wizara ya elimu.
 
Kwa nini viumbe "majini" yanatumia majina ya Kiislamu? Mfano: Fatuma, Maimuna, Makata n.k.
 
Pamoja na elimu na uelewa wako uliamini haya, kwani alikuwa akisahihisha mitihani peke yake?
Huoni kwamba unaongozwa na mihemko ya kidini?
hichi kibibi upumbavu umekijaa mijitu inafundishana judo na kareti alafu haiend shule then itegemee div one upuuz
 
Kweli nje kuna fursa nyingi sana lakini, nnawashauri vijana wa Kitanzania kabla ya kukurupuka kwenda nje wasome kwa bidii sana, amma wasomee fani yoyote (vocational training) amma wasome elimu ya juu na ikiwa watatoka kwenda nje basi watoke amma kwa kufata elimu ya ziada amma kwa kufanya kazi ambazo tayari wanazijuwa na wamezitafuta kuanzia huku, yaani anakwenda nje kifuwa mbele na ana ujuzi wake na wasikurupuke.

Nchi zingine zinatowa kabisa mafunzo kwa vijana wao wanaotaka kwenda nje kutafuta maisha, nadhani na Tanzania wangefanya mikakati hiyo ili iwasaidie vijana wanaotaka "kuzamia".

Mfano Canada, hata ukiingia kwenye website ya "immigration" yao utakuta wameweka kabisa watu wanaowahitaji na kama unakidhi vigezo basi huna tatizo kabisa. Una apply na kuondoka kiulaini kabisa, nnawashauri pitieni kwenye tovuti ya ubalozi wa Canada.

In sha Allah, moja katika mikakati ninayofikiria kuianzisha Tanzania ni hilo la kuwawezesha vijana kwenda Canada kihalali na kisheria. Tatizo mimi siwezi kufanya kazi hizo kwa muda mrefu kwa sasa na nitahitaji watu wa kufanya hizo kazi na mimi ntawasimamia kwa "remote".

Kuhusu kufuga, nilianza kufuga kama kitoweo tu, maana nnaishi shamba muda mrefu nikiwa Tanzania, lakini mifugo inazaliana na kujijenga yenyewe kuwa "commercial" kwa kuwa imefikia nnazalisha zaidi kidogo ya matumizi yangu.

Ufugaji wa samaki ni mzuri sana, mimi nilianza kama mchezo mchezo tu lakini sasa nnawauza na wana demand sana. (quantities zangu si kubwa). Nnauhakika samaki wana soko zuri tu kwani watu wanakuja kuchukuwa kwangu Mkuranga kilo shillingi 7,000 na mara nyingi huwa sina wa kuwapa. Na wananishauri niweke kambare watachukuwa kwa 8,000 lakini bado sijaanza kuwaweka.

Nnakushauri anza tu, work hard na "mambo yatajipa".
Nimekuelewa sana,unaonaje hiyo project unayotaka kuanzisha kwa vijana WA kitanzania ya kuwapeleka Canada kwa ss tusiokuwa na elimu unatusaidiaeje,au mpaka tuwe na elimu ya kukaa ofisini?
 
Mbona we mama mbishi namna hii?

Jibu kwanza maswali yangu.

Uungwana wa mjadala ni kujibu ulichoulizwa kisha nawewe uulize swali.
Ndo maana nikasema ujinga ni kipaji... kwahiyo stahiki yako ni kupuuzwa!! For the sake of this thread, lemme ignore you once and for all!
 
Una division ipi form 4 na six ? Judo na karate ni extra curricula activities inayochezwa kutegemea na hobby za mtu, wewe inakukera nini? Nakushauri ujiunge nawe kama njia ya kujenga mwili na afya yako.
hahaha kwa hali hiyo mtaendelea kushika mkia hadi kiama huku mkisingizia nectar
 
Si haramu kujifundisha "self defence", mimi nilijifunza "art" ya kujihami pale YWCA miaka ya 70 na zaidi ya 90% kati ya tuliokuwa tunajifunza pale walikuwa si Waislam na Sensei wetu pia alikuwa si Muislam.
sasa mnapopata div zero mnalalama kwa necta MNA akili?
pateni degree za judo mukome kulalamikia necta elim elim elim
 
Kuwa "open minded" na usiwe na chuki za kupandikizwa ambazo huna ushahidi nazo, utaishi vizuri na watu duniani.


Ukiisoma hiyo link niliyokuwekea utaona kuwa CIA wenyewe wanakiri, sikuongeza langu hata moja, sasa nnaetetea ni mimi au CIA? Fikiri.
endelea kujificha ktk chaka LA njugu
 
Ndo maana nikasema ujinga ni kipaji...

Still waiting for ua answers...pls begin with the very first qn.

Wewe ni msemaji wa FF? whats ua relationship with her

Why are u answering on her behalf?

au ni two ID's of the same person?

Umegundua kiherehere chako?
 
Canada tena? Umemtaja mtu ambaye namjua mwanzo mwisho, sio yeye namjua babaye na mamaye na ndugu zake wooooooote nawajua mpaka asili yao walikotoka nawajua.

Mama mahiza angesoma hiyo 1982 akawa na degree asingekuwa mwalimu mama, mpaka hapa juzi kikwete ndio kampa ulaji wizara ya elimu.
wacha kurukaruka haya hongera kwa kukumjua babaye mamaye na yeye ...............

ila hoja yangu ni kwamba hili swali lilikuwa lake sawa mkuu..............
 
FaizaFoxy wabunge wa CCM ambao wamehongwa milioni 10 kila mmoja wapitishe muswada wa habari ambao wameupitisha nini maoni yako kuhusiana na swala hilo?
 
Faiza acha kumshutumu Ndalichako kuwa ni sababu ya kufeli kwa waislam
Waislam wanafeli kwa upumbavu wao wa kujali elimu Akhera zaidi na kupuuzia elimu Dunia, mtoto wa kiislam yuko tayari akakeshe Madrasa usiku mzimaa au akakeshe kwenye maulidi lakini si kukesha kujisomea (baadhi ambao ni the Most) Mfano mzur hapa kwetu ni kule visiwani Pemba watu wengi hawajasoma kule japo karibu woote ni waislamu halikadharika pwani pia, kwaiyo kufeli kwa Waislamu wala halikua ni jambo la Ndalichako na tunakuomba kama wewe ni Muislam safi futa hizo kauli kuwa NECTA chini ya Ndalichako ilikua ikiwahujumu waislamu, Kwanza NECTA haina jukumu hilo la kuweza kuwahujumu maana kazi ya NECTA ni kuandaa mitihani (Ambayo hufanywa na dini zote na hata waso Dini) Kusimamia shughuli nzima za ufanyaji wa Mitihani (hapa hushirikiana na baadhi ya walimu +Polisi kwa ajili ya usalama), usahihishaji wa Mitihani (hapa pia baadhi ya walimu huusika +usalama wa Taifa) na utoaji wa matokeo haya kwa mtililko huo tuambie ni wapi Ndalichako anaweza kuingiza kwato zake na kuwchukia Waislam na kuwapangia matokeo ya peke yenu mabaya mabaya mabovu mabovu!
NI DHAMBI KWA MTOTO WA KIISLAM KUONGEA VITU VYA UONGO USIVYO NA UHAKIKA NAVYO, LAKINI KUBWA ZAIDI KUONYESHA CHUKI ZA WAZI WAZI JUU YA MTU FULANI KUTOKANA NA JINA LAKE Joyce Ndalichako.
Kwenye hili naomba niingilie.
Kwa Unguja na Pemba tangu mapinduzi elimu ni bure[primary na sehemu ya secondary] mfumo wao siyo kama wetu Ila ratio wise wengi wao wamesoma elimu ya secondary kuliko bara na hata elimu ya juu ratio wise pia wako juu sana Hivyo kusema kuwa wapemba wengi hawakusoma siyo kweli kabisa.
Hebu fanya utafiti kwanza kuhusu hilo kabla ya kuanza kubishana
 
Faiza, hujajibu swali langu, nimeuliza hivi 'who are the real children of Israel?'' labda nizungumze ninachohitaqji, kuna uvumi kwamba waisrael wa leo sio wale waliotajwa kwenye vitabu vitakatifu na kwamba waliopo wamepachikwa na marekani kulinda interests zake pale middle east, sasa wenyewe ni wepi. Nadhani sasa utanijibu


Ni kweli kabisa, labda nilikuwa sijakuelewa lakini baada ya ufafanuzi wako nimekuelewa, nnaomba pitia hapa uone Rense anasemaje: Absolute Proof More Modern Jews Not Biblical Israelites
 
Still waiting for ua answers...pls begin with the very first qn.

Wewe ni msemaji wa FF? whats ua relationship with her

Why are u answering on her behalf?

au ni two ID's of the same person?

Umegundua kiherehere chako?
Nonsense.png
 
Back
Top Bottom