ustadhijuma
JF-Expert Member
- Jul 20, 2015
- 3,021
- 1,978
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiongozi.Sura zote zinaanza na bismillahi kutoa moja tu. Hakuna suala la kulipa.
Jazaakumullahu KhayraaWAMAA KHALAQTUL JINNA WAL-INSA ILLAA LIYA'ABUDUUN
be careful
Kwasababu hakuna jini la kikristu.
Nukuu Maneno ya Bibie FAIZA.Wewe sio Faiza bhana tena ni bora ungenijibu, Faiza jibu Post 56 na 244 tafadhali
Umefanya jambo la maana.Naomba radhi Muungwana
Ujue mnashindwa kuelewa.Dini hii inafundisha chuki...chuki.. machafuko.. upanga kisasi na vita ndio maana upanga na kumwaga damu hakuishi kwa nchi zao!!
Basi ebu tukwambie Mwenyezi Mungu asema!!
" Msilipize kisasi cha aina yeyote Ila maana kisasi n juu yake""
Wanafunzi wa Yesu wakamuuliza juu ya kumpiga mwanamke aliyekamatwa anazini kama ilivyo sheria ya Musa
"Nae akawambia anaejiona mkamilifu, yeye asie na dhambi na awe wa kwanza kupiga mawe"
Ukiwambia watakwambia Marekani ,ni ajabu sana wakati marekani!! Sasa najiulza je marekan ndio kaja hata huku mavyuoni kwenye ubaguz au mitaan au kaenda galisa,Nigeria Sudan somalia !! Hata wenyewe kwa wenyewe wanauana " Yemen Vs Saudi Arabia...bado watasema marekani!!
........,..........."yeyote atakae UA kwa upanga nae atakufa kwa upanga".........
NaamWatu wengi hutumia "dini" kama joho la kuficha au kuhalalisha madhambi yao lakini nnauhakika dini njema hazifundishi maovu.
Waambie haoVijana wa Kitanzania waelewe kuwa ajira si lazima kuajiriwa tu, hata kujiajiri ni ajira pia.
Ntawasaidia kujisaidia. Sipendi sana neno saidia.
Sio kweli.Sijaelewa hapo..
Maana kwa ufahamu Jihad..ni Islamic holy war
Sasa ukitohoa kwa kiswahili haileti hiyo maana