Sinoni
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 6,581
- 11,572
Kwa macho.Kwani ww unaionaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa macho.Kwani ww unaionaje?
Mi naamini kumridhisha mwanamke na hasa mkeo sio lazima upige show ya kibabe ila fanikisha afike kwenye "kilele".
Kwa mke kumfikisha kileleni ni rahisi maana utakuwa unazijua " areas of weaknesses" zake.
We waonaje?
Oooh! Na mm nitakisoma faiza wangu.Vijana, mara kwa mara huwa nnawaambia someni hiki kitabu, kitawasaidia sana:
The Perfumed Garden Index
Oooh! Na mm nitakisoma faiza wangu.
Naona unataka ma moderator wanipige ban ....any way kupenda kwangu kumeniponza. Haya mods fanyeni kazi yenuTafadhali fanya heshima, kuna utani na kuna "harassment", hiyo sasa ya kuni "stalk" ni "harrassment" na natumai Moderator s wanaiona.
Umeshafunguwa uzi kuhusu mimi, haikukutosha?
Tafadhali Moderator s nnawaomba mlinde heshima yangu na mumtazame huyu anaejiita dume sruali anavyonifanyia "harrasment".
Hanijuwi simjuwi. Nnaomba utawala wa JF unilinde.
cc
eti Faiza Foxy, ni kweli una bifu kali na Mshana Jr?
Nahisi hao mamaods wanajua viziri tu kuwa wewe ni mnafiki ...Tena ni matumaini yangu watakupiga ban ID zako zote, uelewe kuwa wanaelewa.
Au unataka nikuumbue hapa baadhi ya post zako za kinafiki na matusi?Nahisi hao mamaods wanajua viziri tu kuwa wewe ni mnafiki ...
Hivi watu wengine mkoje? Unacholazimisha ni Kitu gani hasa kwanini usijiheshimu keshakwambia hataki sasa unataka nini? Tafadhali JF management angalieni watu kama hawa ambao si wastarabu wanatuharibia jukwaa.sisi tupo hapa kujifunza we kama unaona huwezi ondoka kimya kimya. au mfate PrivateAu unataka nikuumbue hapa baadhi ya post zako za kinafiki na matusi?
Humjui faiza weweHivi watu wengine mkoje? Unacholazimisha ni Kitu gani hasa kwanini usijiheshimu keshakwambia hataki sasa unataka nini? Tafadhali JF management angalieni watu kama hawa ambao si wastarabu wanatuharibia jukwaa.sisi tupo hapa kujifunza we kama unaona huwezi ondoka kimya kimya. au mfate Private
Tatizo lako unataka ujibiwe unavyotaka wewe na si kwa mujibu wa swali lako. Mungu ana mipango yake na taratibu zake za utekelezaji malengo yake, na hayakufuatisha unavyotaka wewe, bali wewe ndo ufuate anavyotaka yeye. Alipotaka wanadamu wote walione jua kwa wakati alioupanga, amefanya hivyo, huku jua linawaka na huku wengine wako gizani, angelitaka watu wote wapate jua kwa wakati mmoja pia angeweza, lakini hakutaka hivyo. Kwenye imani ya kiroho, pia angetaka watu wote wapate ujumbe mmoja kwa wakati mmoja (kama unavyotaka wewe), pia angeweza, lakini hakutaka hivyo unavyotaka wewe (wewe sio muumba na wala si muweza) amefanya vile anavyotaka yeye (kwakuwa yeye ni muumba na muweza wa kila jambo) Ametuma Wajumbe wake kuleta ujumbe wake katika zama tofauti, tofauti ya karne nyingi tu, na wala hakuwalazimisha wajumbe wake kuzunguka dunia nzima na kuonana na kila nwanadamu (kama unavyotaka wewe) bali alitaka ujumbe wake uendelee kusambaa hata baada ya wajumbe wake hao kuondoka duniani, na hivyo ndivyo ilivyo sasa, ujumbe unaendelea kusambaa na utaendelea kusambaa hadi siku ya kiyama ndipo utakapokoma kusambaa, hivyo ndivyo alivyotaka. Kuhusu wale walioishi hadi kufa bila kupata ujumbe, imeelezwa katika maandiko nini itakuwa hatima yao, na walikuwepo hata wakati wa uhai wa Wajumbe hao, wengine waliweza hata kukutana nao, lakini kwa sababu mbalimbali hawakuweza kupata ujumbe huo (viziwi, vichaa, uzee wa kiwango cha kupoteza ufahamu nk) hukumu yao anaijua mwenyewe, maandiko yanabainisha hali hii, lakini kwakuwa huyaamini maandiko, pamoja na kubainishiwa, basi haina maana yoyote kuhangaika na "...wana masikio lakini hawasikii, wana macho lakini hawaoni (na wala hawataona), ...wamekuwa kama wamefungwa makongwa ya shingoni, shingo zao haziwezi kugeuka kulia wala kushoto!"Teknolojia ya kipindi hicho ilikuwa duni.... huu ni ukweli kabisa, ila kwa uwezo wa Mungu unataka kuniambia Muhammad na Yesu wangeshindwa kufika wanapopataka kwa wakati yaani mpaka wategemee teknolojia??? Ujumbe wa Mungu umechelewa kufika mahali due to poor technology ya watu hao, Mungu ategemee teknoloji yetu sisi..... [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Ina maana tungekuwa nao enzi hizi wangekuwa wanapanda ndege???? Mungu hashindwi na jambo lolote hawa wameshindwa vipi??? kwanin walikuwa wameng'ang'ania middle east tu.... unajua sio lazima kila swali unaloulizwa sharti uwe na majibu.
Kubali mengine hauna majibu nayo, Dada yako anasema haoni tena post zangu...
Ni dhahiri huna ulijualo, ndio maana kumbe Faiza hakujibu pumba zako. Kwaherihizo ni stori alizo ziokota mudi vijiweni maka na madina hadi Wayahudi wakamuita mzushi mpotovu...qaraa beti zooote ni stori tu..[emoji4]
aiseee...Hapana, si kweli.
Huwa nnapenda kumweka sawa yeyeote kila anapondanganya na nnapojuwa kuwa huo ni uongo. Haikuanza leo na haikuanzia kwa anejiita Mshana Jr.
Lakini huyo anaejiita Mshana Jr. ni muongo wa kutupwa, uongo upo ndani ya damu yake.
Wewe unaemjuwa si umfate private mkaongee so far so good navyomfahamu ni kama huu mjadala unavyoendelea hapa jukwaani. Kuanza kulazimisha mambo ambayo "sisi " wengine hayatuhusu kwenye " public" hapa naona ni kama upunguani na ushamba flani hivi.Humjui faiza wewe
Kwa sababu wewe ni mmoja Kati ya member ninao waheshimu humu,ngoja nitulie.@LANCANSHIRE [emoji120]Wewe unaemjuwa si umfate private mkaongee so far so good navyomfahamu ni kama huu mjadala unavyoendelea hapa jukwaani. Kuanza kulazimisha mambo ambayo "sisi " wengine hayatuhusu kwenye " public" hapa naona ni kama upunguani na ushamba flani hivi.