Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Huyu bibi nmegundua ni zero brain kutaka na vitu vifuatavyo
1.anajisikia sana
2.anakiburi
3.anajiona msomi sana kuliko wengne
Ni hayo tu kma huamini angalia majibu yake anavyojibu pumba utaelewa
 
Huyu bibi nmegundua ni zero brain kutaka na vitu vifuatavyo
1.anajisikia sana
2.anakiburi
3.anajiona msomi sana kuliko wengne
Ni hayo tu kma huamini angalia majibu yake anavyojibu pumba utaelewa
Swali ni lipi hapo?
 
Ni kwa namna gani mke anaweza kumsababishia mume kuingia "jannah''?
 
FaizaFoxy
Ni nini maana ya mwanamke kusema amechoka wakati ameenda kwenye kitanda cha mume na mke na kuwa amevaa dera

Sent using Jamii Forums mobile app
Iwe kavaa dera sijui nini, kama hayupo kwenye ada yake ama nifasi kufanya ivo ni kosa kisheria, japo swali lako halijakaa sawa, kwa Mimi nimekuelewa hivo.
 
Qur'an 28:
55. Na wanapo sikia upuuzi hujitenga nao na husema: Sisi tuna vitendo vyetu, na nyinyi mna vitendo vyenu. Salamun Alaikum, Amani juu yenu! Sisi hatutaki kujibizana na wajinga.

Sasa mbona umejibu? Lete namba yako hiyo tukusalimie na tukupe joto mwanana mwilini.
 
Sasa mbona umejibu? Lete namba yako hiyo tukusalimie na tukupe joto mwanana mwilini.
Qur'an 28:
55. Na wanapo sikia upuuzi hujitenga nao na husema: Sisi tuna vitendo vyetu, na nyinyi mna vitendo vyenu. Salamun Alaikum, Amani juu yenu! Sisi hatutaki kujibizana na wajinga.
 
Ni kwa namna gani mke anaweza kumsababishia mume kuingia "jannah''?
Qur'an 49:13. Enyi watu! Hakika Sisi tumekuumbeni kutokana na mwanamume na mwanamke. Na tumekujaalieni kuwa ni mataifa na makabila ili mjuane. Hakika aliye mtukufu zaidi kati yenu kwa Mwenyezi Mungu ni huyo aliye mchamngu zaidi katika nyinyi. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kujua, Mwenye khabari.
 
Napenda kutumia fursa hii adhim kukusalim mama yng bi FaidhaFoxy Heshima yako mama [emoji120]
 
FaizaFoxy umejitahidi kujibu. HATA Walivyokuja waislamu wenzako ulijitahidi kujenga hoja.

Hongera sana.
Nilikua nakucheki tu.

UKO VIZURI.

Swali:-
1. Una amini pasi na shaka (hata tone) kua Njia uliochagua ni sahihi kabisa, ya kua utaiona Pepo?.Jibu.

2. Unamaanisha nini Unaposema "kumcha Mungu"?
Asante.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom