FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
- Thread starter
- #2,321
Hiyo ni mistari ya biblia uliyoijibu. Kama jeuri basi ni biblia si mimi.Uzima unakupa jeuri ila ipo siku ulimi wako utakiri kuwa Yesu ni bwana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Waislam wote tunaamini kuwa Yesu alayhi salaam ni Mtume wa Mwenyezi Mungu na hatutofautishi Haina ya Mitume.
Jee, umewahi kumsoma Yesu alayhi salaam na mama yake Bi Mariam aleyha salaam katika Qur'an kwa mtazamo wa Kiislam?