Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Uzima unakupa jeuri ila ipo siku ulimi wako utakiri kuwa Yesu ni bwana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni mistari ya biblia uliyoijibu. Kama jeuri basi ni biblia si mimi.

Waislam wote tunaamini kuwa Yesu alayhi salaam ni Mtume wa Mwenyezi Mungu na hatutofautishi Haina ya Mitume.

Jee, umewahi kumsoma Yesu alayhi salaam na mama yake Bi Mariam aleyha salaam katika Qur'an kwa mtazamo wa Kiislam?
 
Mwaka 1979 Tanzania ilikuwa na wataalamu wangapi wa Telecom ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sifahamu. Niliondoka Tanzania 1973 sikurudi mpaka 1985 tena kwa muda mfupi tu. Kwa hiyo ya 1979 siyafahamu.

Labda kuna waliokuwepo wataoweza kuja kutusaidia.

Isipokuwa nakumbuka kampuni niliyoanzia kufanya kazi ya mambo ya telecommunications huko nje ilikuwa ina equipments zake ilizokwisha ziuza Tanzania pale extelcoms na kwa kuwa ni nyumbani basi waliwahi kututuma kuja kufanya shughuli fulani pale. Wakati huo na kumbuka mkubwa wa TPTC (wenyeji wetu) alikuwa Bwana mmoja wa Kizanzibari akiitwa Ahmed Islam.
 
Jitahidini sana hapo ulipo kupata ahali zako na majirani ili mpate "jamaa" hata ya kuanzia wawili.

Unaweza pia kupata jamaa ya wewe na ahali zako hapo nyumbani kwa kuanzia.

In Shaa Allah mkipata jamaa ya hapo nyumbani na majirani itakuwa mmepata kama wa msikitini na ndiyo itakuwa mwanzo mzuri wa kuanzisha msikiti.

الله أعلم
Allahu a'lam
Kama hamna muislamu? , ndo mimi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sifahamu. Niliondoka Tanzania 1973 sikurudi mpaka 1985 tena kwa muda mfupi tu. Kwa hiyo ya 1979 siyafahamu.

Labda kuna waliokuwepo wataoweza kuja kutusaidia.

Isipokuwa nakumbuka kampuni niliyoanzia kufanya kazi ya mambo ya telecommunications huko nje ilikuwa ina equipments zake ilizokwisha ziuza Tanzania pale extelcoms na kwa kuwa ni nyumbani basi waliwahi kututuma kuja kufanya shughuli fulani pale. Wakati huo na kumbuka mkubwa wa TPTC (wenyeji wetu) alikuwa Bwana mmoja wa Kizanzibari akiitwa Ahmed Islam.
Ooh i see.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi faizafoxy unaamini siku moja unaweza mpokea Yesu kristo awe bwana na mwokozi wako?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuuliza swali post namba 2331 hujanijibu. Huoni kuwa mjadala haunogi unapoulizwa wewe haujibu unataka kuuliza wewe tu?

Kabla sijajibu swali lako tafadhali kwanza jibu swali langu hapo juu kidogo.
 
Dada Faiza niliwahi kukuona katika mjadala mmoja humu JF ukipinga matumizi ya Hadeeth za Mtume S.A.W. na ukasema Quran yatosha,huoni huku ni kupotoka kulikopindukia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Neno la Kiswahili oana linamaanisha vitu viwili au zaidi vilivyoshabihiana, mfano viatu, ukichukuwa kitu cha buti huwezi kukioanisha na raba ukavivaa.

Kuoa/kuolewa ni maneno ya Kiswahili yanayomaanisha maharusi wawili, mume hula na mke kuolewa kwa tamaduni za kimika au kizungu.

Kuoana ambayo ndiyo neno sahihi zaidi na ndiyo mfumo wa Kiislam. Kiarabu (ndiyo lugha mama kwa sharia za Kiislam) hutumika neno "zawaj" (to be a pair) ambalo linafanana zaidi na kuoana. Waislam tunaoana kisharia na hatuoi au kuolewa.
Kimika[emoji3578] kimila

Na test mitambo
 
Mama huwa napenda kusoma mawazo yako katika kuchangia mijadala mbalimbali kwasababu unaupeo mkubwa, japo kuna wakati huwa unazidisha kutufanya tuamini waarab na lugha yao ndiyo wako sahihi kwenye kila kitu.

Wazungu (niseme kingereza) wananeno marry ambalo hutumika na jinsia yoyote... .. Sasa sijui wewe unamaanisha wazungu gani! Lakini kwa sisi waafrika ni kweli tunatumia "oa" na "olewa"
IMG_20190113_132108_027.JPG

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Attachments

  • IMG_20190113_132108_027.JPG
    IMG_20190113_132108_027.JPG
    44.5 KB · Views: 27
  • IMG_20190113_132108_027.JPG
    IMG_20190113_132108_027.JPG
    44.5 KB · Views: 26
Mama huwa napenda kusoma mawazo yako katika kuchangia mijadala mbalimbali kwasababu unaupeo mkubwa, japo kuna wakati huwa unazidisha kutufanya tuamini waarab na lugha yao ndiyo wako sahihi kwenye kila kitu.

Wazungu (niseme kingereza) wananeno marry ambalo hutumika na jinsia yoyote... .. Sasa sijui wewe unamaanisha wazungu gani! Lakini kwa sisi waafrika ni kweli tunatumia "oa" na "olewa" View attachment 993233

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbuka nilikuwa sitoi tafsiri ya neno kwa neno nilichokifanya ni kufafanua maana ya kuoa / kuolewa.

Wazungu huoa tena si tu kwa kumfanya mwanamke kuwa mke bali kumfanya "inferior" kiasi hata cha kubadili jina la nasaba yake. Margaret Roberts baada ya kuolewa tu akawa Margaret Thatcher. Pennine hata wewe ulikuwa hufahamu hilo, hapo nasaba yake kwisha. Huko ndiko kuolewa kwa wazungu na si kuoana. Huyakuti huo katika Uislam.

Kuhusu Lugha ya Kiarabu, isikupe shida, kwani Muislam una lugha yako lakini lugha ya sharia ya Uislam ni Kiarabu, kwa hiyo tafsiri yoyote ya kisharia ya Kiislam hutoka kwenye Kiarabu. Qur'an, ambacho ndicho kitabu wanachokifata Waislam wote, nacho kiliteremshwa kwa lugha ya Kiarabu na mpaka leo kimebaki kwa Kiarabu na kila Muislam ni lazima ajifundishe kuisoma Qur'an kwa Kiarabu.
 
Dada Faiza niliwahi kukuona katika mjadala mmoja humu JF ukipinga matumizi ya Hadeeth za Mtume S.A.W. na ukasema Quran yatosha,huoni huku ni kupotoka kulikopindukia?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sikupinga matumizi kwa kuwa zipo, bali ninachosema mimi, Hadith siyo wahyi (hazikuhifadhiwa, zipo za kweli, zipo za kutunga, zipo za uongo) wahyi ni Qur'an.

Na nnachokisema mimi ni kuwa hadith na mapokeo yake ndiyo chanzo kikuu cha kuwafarikisha (kuwatenganisha) Waislam.
 
Kumbuka nilikuwa sitoi tafsiri ya neno kwa neno nilichokifanya ni kufafanua maana ya kuja / kuolewa.

Wazungu huoa tena si tu kwa kumfanya mwanamke kuwa mke bali kumfanya "inferior" kiasi hata cha kubadili jina la nasaba yake. Margaret Roberts baada ya kuolewa tu akawa Margaret Thatcher. Pennine hata wewe ulikuwa hufahamu hilo, hapo nasaba yake kwisha. Huko ndiko kuolewa kwa wazungu na si kuoana. Huyakuti huo katika Uislam.

Kuhusu Lugha ya Kiarabu, isikupe shida, kwani Muislam una lugha yako lakini lugha ya sharia ya Uislam ni Kiarabu, kwa hiyo tafsiri yoyote ya kisharia ya Kiislam hutoka kwenye Kiarabu. Qur'an, ambacho ndicho kitabu wanachokifata Waislam wote, nacho kiliteremshwa kwa lugha ya Kiarabu na mpaka leo kimebaki kwa Kiarabu na kila Muislam ni lazima ajifundishe kuisoma Qur'an kwa Kiarabu.
Basi kwa kutokutoa tafsiri ya neno kwa neno ni kwamba ukubali tu ya kuwa hujajibu swali la muulizaji bali ukaelekeza moja kwa moja nguvu yako kwenye maelezo ya uarab na uislam. Samahani lakini kama ninakukwaza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ni mistari ya biblia uliyoijibu. Kama jeuri basi ni biblia si mimi.

Waislam wote tunaamini kuwa Yesu alayhi salaam ni Mtume wa Mwenyezi Mungu na hatutofautishi Haina ya Mitume.

Jee, umewahi kumsoma Yesu alayhi salaam na mama yake Bi Mariam aleyha salaam katika Qur'an kwa mtazamo wa Kiislam?

Sijawahi soma quran ktk maisha yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom