Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Weka link hapa. Mnajitengenezea utumbo wenu mnakuja nao hapa?

Mnajihangaisha bure. Tazama quotes zote humu, zipo hivyo?

Eeh watu wanafik nyinyi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ulifuta ila aliyekuquote ndio kakuumbua
Wewe ni ibilisi

Nitengeneze link ili nipate nini

Lengo lilikuwa kukuonyesha ulivyo kigeugeu, kama hiyo nimetengeneza vipi kuhusu kukana hakuna mkristo anaitwa Abdallah halafu ukageuka kuwa unamfahamu msabato mwenye jina hilo?

Nilete link?

Au utakimbia tena kufuta
 
Hii imekaaje!?
Kama mnaamini Yesu kristo ameketi mkono wa kuume wa Mungu baba mwenyez,kutoka huko atakuja kuwahukumu walio Hali na wafu,kwanini hammfwati(si wa kristo)

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuwekea ayah ya Qur'an hapo juu, huwa hatutofautishi baina ya mitume wa Mweyeezi Mungu na Yesu alayhi salaam ni Mtume wa Mwenyezi Mungu.

Ukichukulia kuwa yeye yupo na Mwenyezi Mungu basi katika biblia wapo waliopelekwa kwa Mwenyezi Mungu kabla hawajafa, mfano Elijah na Enoch. Kwanini na wao wasiabudiwe kwa misingi hiyo?

Wa Kuabudiwa ni mmoja tu, Muumba wa mbingu na ardhi ambae hajazaa wala kuzaliwa.
 
AlhamduliLlah nimeiona kuanzia awamu ya kwanza mpaka sasa ya tano. Nimeona awamu saba za Zanzibar na Sultan, nimeishi nje ya Tanzania na kuona ya huko.

Nadiriki kusema mpaka leo hii bado hatujapata Rais kama Kikwete.

Kikwete ni tunu ya kuenziwa.
Loh
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ulifuta ila aliyekuquote ndio kakuumbua
Wewe ni ibilisi

Nitengeneze link ili nipate nini

Lengo lilikuwa kukuonyesha ulivyo kigeugeu, kama hiyo nimetengeneza vipi kuhusu kukana hakuna mkristo anaitwa Abdallah halafu ukageuka kuwa unamfahamu msabato mwenye jina hilo?

Nilete link?

Au utakimbia tena kufuta
Wewe jifanye mjanja. Mbona uliipiga picha badala ya kuleta quote yenyewe.

Niondokee hapa. Huwa si deal na watu mafataani.
 
a) Hili au ili yote ni sahihi lakini yana maana tofauti.
b) Ndiyo, hata Nyerere alitumia neno "ndiyo" au hapana wakati wa kura zake za mtu mmoja, ona:

fb_img_1431712792847-jpg.252094

Mengine baadae au kama kuna wengine wanisaidie, ni open forum hii.
Kwa kuwa nyerere katumia basi iko sawa

Hahaa, Ndio na Ndiyo ni kama ulivyojibu namba moja
 
Nimeakuwekea ayah ya Qur'an hapo juu, kauqwa hatutofautishi baina ya mitume wa Mweyeezi Mungu na Yesu alayhi salaam ni Mtume wa Mwenyezi Mungu.


Ukichukukia kuwa yeye yupo na Mwenyezi Mungu basi katika biblia wapo waliopelekwa kwa Mwenyezi Mungu kabla hawajafa, mfano Elijah na Enoch. Kwanini na wao wasiabudiwe kwa misingi hiyo?

Wa Kuabudiwa ni mmoja tu, Muumba wa mbingu na ardhi ambae hajazaa wala kuzaliwa.
Nimekuelewa vizuri


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makkah ndio wapi!?

Sent using Jamii Forums mobile app
Makkah imetajwa katika Biblia pia kwa namna mbili tofauti, namna moja ni...
Zaburi 84:
6 Wakipita kati ya bonde la Vilio, Hulifanya kuwa chemchemi, Naam, mvua ya vuli hulivika baraka


Hilo liliotajwa kama bonde la vilio kwenye biblia ya Kiswahili limetajwa kwa jina "Baka" kwenye biblia ya Kingereza...

“As they pass through the Valley of Baka, they make it a place of springs; the autumn rains also cover it with pools.” (Psalm 84:6)

Jina ambalo pia linapatikana katika Qur'an...

3_96.gif

96. Hakika Nyumba ya kwanza walio wekewa watu kwa ibada ni ile iliyoko Bakka, iliyo barikiwa na yenye uwongofu kwa walimwengu wote. 96

Pia kwenye Biblia imetajwa kama Paran, ukisoma Psalm 21 (14-21) utalikuta.

Kwa sasa jiji la Makkah lipo nchini Saudi Arabia.
 
Kwanini hamli nguruwe!?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nguruwe ameharamishwa katika Qur'an. Na sisi Allah akituharamisha kitu huwa hatukifanyi, tuna tii na kunyenyekea amri za Allah...

2_173.gif

173. Yeye amekuharimishieni mzoga tu na damu na nyama ya nguruwe na kilicho tajiwa, katika kuchinjwa kwake, jina la asiye kuwa Mwenyezi Mungu. Lakini aliye fikiwa na dharura bila ya kutamani wala kupita kiasi, yeye hana dhambi. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu.173

Kwenye biblia pia amekatazwa...

Hakika ni kuwa Agano la Kale katika Biblia imekataza ulaji wa nguruwe na akafanywa kuwa ni haramu: “Nguruwe msimle; ana kwato zilizogawanyika lakini hacheui; kwenu ni najisi. Kwa sababu wanyama hao ni najisi msile nyama yao wala msiguse mizoga yao” (Walawi 11: 7 – 8).
Agizo hilo limerudiwa katika Kumbukumbu la Shari’ah 14: 7 – 8 na pia Isaya 66: 17. Na katika Agano Jipya, Yesu naye amesema kuwa hakuja kutangua shari’ah na mafundisho ya manabii bali kukamilisha (Mathayo 5: 17). Kwa ibara hiyo ni kuwa Yesu pia aliharamisha ulaji wa nguruwe.
Chanzo: Wapi Katika Biblia Kumetajwa Kuhusu Kuharamishwa Kula Nguruwe? | Alhidaaya.com
 
Kwa nn mnaamini kua Allah ndie muumba wa mbingu na nchi?


Je unafahamu kua duniani Amna kiumbe anaeitwa Allah isipokua MUNGU mwenye henzi?

Sent using Jamii Forums mobile app

Qur'an 2:
2_255.gif

255. Mwenyezi Mungu - hapana mungu ila Yeye Aliye hai, Msimamia mambo yote milele. Hashikwi na usingizi wala kulala. Ni vyake pekee vyote viliomo mbinguni na duniani. Ni nani huyo awezaye kuombea mbele yake bila ya idhini yake? Anayajua yaliyo mbele yao na yaliyo nyuma yao; wala wao hawajui chochote katika vilio katika ujuzi wake, ila kwa atakalo mwenyewe. Enzi yake imetanda mbinguni na duniani; na wala haemewi na kuvilinda hivyo. Na Yeye ndiye aliye juu, na ndiye Mkuu. 255
 
Wewe jifanye mjanja. Mbona uliipiga picha badala ya kuleta quote yenyewe.

Niondokee hapa. Huwa si deal na watu mafataani.
Ambacho hujaelewa kitu gani?

Hatimaye leo nimekupata[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mimi kuleta hizo link sijui na hata nikileta ntaleta aliyokuquote jamaa, ile orijino nilijaribu kuisaka umefuta

Kwa kuwa sipo hapa mradi tu nikubishie au tubishane maana sipati chochote wala sina nia yoyote wacha nikuache

Lakini ukweli wewe unaufahamu hata kama utapinga

Wewe ni mtu wa dini, nafsi itakuhukumu yenyewe

Na ndio sababu hujabisha kuhusu majina
 
Masih dajal/ mpinga kristo atakuja kisha kitafuatia kiyama, kazi kubwa ya masih dajal/mpinga kristo ni kupotosha umma kwa mafundisho ya uongo na pia kuipinga kazi aliyoifanya Issa/Yesu. hivi ndivyo ninavyo amini.



Swali 1: ikiwa mafundisho tunayopaswa kuyafuata ni ya mtume Muhammad s.a.w 'kwa kuwa huu ndio umma wake' imekuwaje masih dajal/mpinga kristo aje kuyapinga mafundisho ya Issa/Yesu hali ya kuwa hakuletwa kwa umma huu? 2: kwanini atakaekuja kupambana na masih dajal/ mpinga kristo ni Issa/Yesu na siyo Muhammad S.A.W. ambae huu ndio umma wake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Masih dajal/ mpinga kristo atakuja kisha kitafuatia kiyama, kazi kubwa ya masih dajal/mpinga kristo ni kupotosha umma kwa mafundisho ya uongo na pia kuipinga kazi aliyoifanya Issa/Yesu. hivi ndivyo ninavyo amini.



Swali 1: ikiwa mafundisho tunayopaswa kuyafuata ni ya mtume Muhammad s.a.w 'kwa kuwa huu ndio umma wake' imekuwaje masih dajal/mpinga kristo aje kuyapinga mafundisho ya Issa/Yesu hali ya kuwa hakuletwa kwa umma huu? 2: kwanini atakaekuja kupambana na masih dajal/ mpinga kristo ni Issa/Yesu na siyo Muhammad S.A.W. ambae huu ndio umma wake?

Sent using Jamii Forums mobile app
1) Masih Dajal tayari yupo, wasomi wanamchambua hapa, soma: Man spoiling the land and sea and him will suffer on earth from it are prophesied in the Glorious Quran.

2) Kwa sababu Issa alayhi salaam hajauonja umauti na hiyo ni mipango ya Allah ili amrudishe tena kuja kuyakinisha wale wanaomzushia kuwa yeye Mungu au Mwana wa Mungu wamepotoka.

Hakuna wapingaji wakubwa wa Yesu alayhi salaam leo hii kama Wayahudi na wanaojiita Wakristo, atakuja kuwakana kabla ya umauti wake.

Muhammad sala Allahu alayhi Wa salaam hakumpinga Issa hata kidogo kamtukuza yeye na mama yake.

Tazama mipango ya Allah, nani wa "kupambana" na anaempinga zaidi ya yeye mwenyewe anaepingwa? Allahu Akbar, hiyo pekee ni sababu tosha ya Yesu alayhi salaam kurudishwa.

Fata hiyo link utayaona mengi, ni marefu sana kuyaleta yote hapa.
 
Sasa unanipangia majibu? Ajabu hii kwa mtu mwenye uzoefu wa minakasha, kumbe wazoefu huwa mnapangiana majibu? Sijajuwa.

Hivi huwa unakurupuka bila kunisoma au vipi?

Narudia, kama walikatana viganja ndicho walichokuta. Hakuna utata hapo. Au wakikatana mkono hakuna utata pia. Sijui unanielewa?

Kuhusu hadithi ambazo si Qur'an zinabaki kuwa hadithi kama zilivyo riwaya na si wahyi. Kwa maana si maneno ya Mwenyezi Mungu.

Sizikubali hadithi zote kuwa ni maneno ya Allah. Zinabaki kuwa simulizi za watu wanazohadithia na zinabaki kuwa vyanzo kizuri cha historia. Kama ipo ambayo hainiingii akilini huwa sikubaliani nayo, hususan zile zinazo wafarakanisha Waislam.

Hayo yanahusiana na aya uliyoileta? Au hujaelewa majibu yangu? Kuwa Qur'an imekuja kuyakinisha, kukatana mkono kulikuwepo tangu kwa waliopewa vitabu kabla ya Qur'an.

Nini hapo huelewi?

Nasubiri aya ya Qur'an ya "maisha ya kaburini" kutoka kwako.

Kuna hadithi nyingine ni swahihi na nyingine siyo, hivi nitawezaje kuzitofautisha nizisomapo kwamba hii ni swahihi na hii siyo?
 
Back
Top Bottom