safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 11,837
- 17,412
Nimekuambia ili iwe kuowana lazima ipimwe katika wazni maalumu.Una matatizo kweli kweli, kumbe hata kusoma Kiarabu kwako ni shida. Sasa hicho ulichoandika ndiyo "wazni" ? Hiyo ni "wazn". Kasome kijana kabla hujaanza kubishana ujinga wako.
Rudia tena kusoma utanielewa tu, hata ukiwa na kichwa maji hakuna cha kukuzuwia kunielewa ninapokupa darsa.
Tartiiibu utaelewa hayo maneno yanatumika na wapi na vipi.
Hata huifahamu maana ya wazn na wazni. Unaleta porojo hapa. Mara "swarf" mara "wazn" mara huku mara kile. Nenda kasome juu huko nimekuwekea post nzima ya Kiarabu kitupu nini maana ya "Nikah" mbona hujaijibu?
Au imekuwa mtihani kwako? Sema Tu nikusaidie.
Ukisema ndoa ni mkataba sio hoja ya kuwa watu wanaowana.
Ndo ni mkataba ambao una mtenda(muowaji) na mtendewa(muolewaji}.
Kama tu mkataba baina ya muajiri na muajiriwa haina maana ya kuwa ati ni mkataba akosekane mtenda na mtendwa.
Sasa ili iwe kweli makusudio ya pale ni kutendana(kuowana) na sio kuoa basi tuoneshe huo wazni wa hilo neno kuowana kwa kiarabu tuone likoje.
Hiyo mizani mbona hujaileta umekazana kwenye lugha tu.kama wewe unajua unachokisema lete mizani hapa.
Umeleta hiyo mizani ya kuowana?
Sent using Jamii Forums mobile app