FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
- Thread starter
- #2,981
Na hajibu maswali anayo ulizwa. Hapa leo amekuja na uongo mwingine, ana dai maswaliniliyo muuliza ameyajibu. Sasa nikamuonyesha ya kuwa hajajibu hata swali moja, nimemuwekea yale maswali aniambie ameyajibu wapi au ayajibu tena. Mpaka muda huu nasubiri majibu.
Mnashindwa kuleta Ayat za adhabu ya kaburi halafu mnataka kuuliza? Kwanza malizeni hilo moja...
Qur'an 37:
154. Mna nini? Mnahukumu vipi nyinyi? 154
155. Hamkumbuki? 155
156. Au mnayo hoja iliyo wazi? 156
157. Basi leteni Kitabu chenu kama mnasema kweli. 157