Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Na hajibu maswali anayo ulizwa. Hapa leo amekuja na uongo mwingine, ana dai maswaliniliyo muuliza ameyajibu. Sasa nikamuonyesha ya kuwa hajajibu hata swali moja, nimemuwekea yale maswali aniambie ameyajibu wapi au ayajibu tena. Mpaka muda huu nasubiri majibu.
Yeye ukimuuliza anskopi aya tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mnashindwa kuleta Ayat za adhabu ya kaburi halafu mnataka kuuliza? Kwanza malizeni hilo moja...

Qur'an 37:
37_154.gif

154. Mna nini? Mnahukumu vipi nyinyi? 154

37_155.gif

155. Hamkumbuki? 155

37_156.gif

156. Au mnayo hoja iliyo wazi? 156

37_157.gif

157. Basi leteni Kitabu chenu kama mnasema kweli. 157
 
Mnashindwa kuleta Ayat mnazojidai zipo za adhabu ya kaburi halafu mnataka kuuliza? Kwanza malizeni hilo moja...

Qur'an 37:
37_154.gif

154. Mna nini? Mnahukumu vipi nyinyi? 154

37_155.gif

155. Hamkumbuki? 155

37_156.gif

156. Au mnayo hoja iliyo wazi? 156

37_157.gif

157. Basi leteni Kitabu chenu kama mnasema kweli. 157
Nasubiri majibu ya maswali yangu. Hatulei ujinga sisi.
Huna swali ambalo hukujibiwa kijana.

Nasubiri Ayat za Qur'an za adhabu ya kaburi.

Qur'an 37:
37_154.gif

154. Mna nini? Mnahukumu vipi nyinyi? 154

37_155.gif

155. Hamkumbuki? 155

37_156.gif

156. Au mnayo hoja iliyo wazi? 156

37_157.gif

157. Basi leteni Kitabu chenu kama mnasema kweli. 157
 
Zamani tulikuwa na duka kwetu nilikuwa nautumia kupimia watu sembe.

Wapi Ayat za Qur'an za adhabu ya kaburi.

Mimi nakwambia hakuna. Mwite na mwenzako Zurri msaidiane kuzitafuta, waiteni na mashetani wenzenu, pia hamtozikuta.

Mtamzulia maneno yenu Mtume tu lakini kuibadili Qur'an hamtaweza.
Unakimbia swali la waznu?
Mpaka unijibu we kopi aya ila mimi nataka majibu hapa.na najua hujui ila nataka nikuthibitishie tu kuwa wewe mambo huyajui unakurupuka tuu.

Huu uislamu lazima ujue kiarabu mama,sio unakuja na dicshenali yako hapo wakati nahwu na swarfu hujui. Unapotea.

Lau ungekuwa unajua ungelijibu zamani ila hujui sasa utafanyaje zaidi ya kukopi aya tu hapa kazi ambayo hata mpagani anaiweza.

UKO WAPI WAZNU WA NENO KUOWANA KWA KIARABU?

UMENIPA HUO WAZNU..?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo hadith' ya mtume iko wapi? Hebu weka hapa tuione.

Mwenzako anayejiita @dafuher umesahau nilimfanya nini na hadithi yake mpaka akakiri hawezi kujibu?

Kwanza nnawangoja na Ayat za adhabu ya kaburi mnazojidai zipo nyingi. Leteni
hapa mnashindwa nini?

Ningewaambia mlete hadith zenu za kujitungia mnazojidai eti za Mtume za adhabu ya kaburi mngeleta kibao. Si uongo mtupu huo.
Kwako ili hadithi itoke kwa Mtume iweje?

Alafu tupe hiyo hadithi unayoamini imetoka kwa Mtume tuone..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na hajibu maswali anayo ulizwa. Hapa leo amekuja na uongo mwingine, ana dai maswaliniliyo muuliza ameyajibu. Sasa nikamuonyesha ya kuwa hajajibu hata swali moja, nimemuwekea yale maswali aniambie ameyajibu wapi au ayajibu tena. Mpaka muda huu nasubiri majibu.
Mkuu huyu mama anawazimu si bure.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo hadith' ya mtume iko wapi? Hebu weka hapa tuione.

Mwenzako anayejiita @dafuher umesahau nilimfanya nini na hadithi yake mpaka akakiri hawezi kujibu?

Kwanza nnawangoja na Ayat za adhabu ya kaburi mnazojidai zipo nyingi. Leteni
hapa mnashindwa nini?

Ningewaambia mlete hadith zenu za kujitungia mnazojidai eti za Mtume za adhabu ya kaburi mngeleta kibao. Si uongo mtupu huo.
Naona unakimbia maswali, nimekuuliza ni upi msimamo wako kuhusu Hadithi za mtume, unataka tena nikupe hadithi ?

Tuliza akili bi mkubwa na uwe unasoma maswali kabla ya kujibu.
 
Mnashindwa kuleta Ayat za adhabu ya kaburi halafu mnataka kuuliza? Kwanza malizeni hilo moja...

Qur'an 37:
37_154.gif

154. Mna nini? Mnahukumu vipi nyinyi? 154

37_155.gif

155. Hamkumbuki? 155

37_156.gif

156. Au mnayo hoja iliyo wazi? 156

37_157.gif

157. Basi leteni Kitabu chenu kama mnasema kweli. 157
Leo ina katika wiki sasa maswali yangu hutaki kujibu. Hatumalizi hili mpaka liishe, kisha twende nukta inayofata. Hatulei ujinga na watu waongo.
 
Mnashindwa kuleta Ayat mnazojidai zipo za adhabu ya kaburi halafu mnataka kuuliza? Kwanza malizeni hilo moja...

Qur'an 37:
37_154.gif

154. Mna nini? Mnahukumu vipi nyinyi? 154

37_155.gif

155. Hamkumbuki? 155

37_156.gif

156. Au mnayo hoja iliyo wazi? 156

37_157.gif

157. Basi leteni Kitabu chenu kama mnasema kweli. 157

Huna swali ambalo hukujibiwa kijana.

Nasubiri Ayat za Qur'an za adhabu ya kaburi.

Qur'an 37:
37_154.gif

154. Mna nini? Mnahukumu vipi nyinyi? 154

37_155.gif

155. Hamkumbuki? 155

37_156.gif

156. Au mnayo hoja iliyo wazi? 156

37_157.gif

157. Basi leteni Kitabu chenu kama mnasema kweli. 157

Aya ziko nyingi bibie, sasa kama umeshindwa kuipangua hiyo aya moja tu inayo thibitisha juu ya uwepo wa adhabu za kabiri hizo nyongine si ndio itakuwa maafa zaidi ?

Nimekuuliza lile tamko la "...adhabu mara mbili" katika ile aya linamanisha nini ?
 
Msimamo wako ni upi kuhusu hadithi ,naona unazikwepa sana

Sijajua msimamo wako ni upi

Msimamo wangu kuhusu hadithi upo very simple na clear. Nisome vizuri...

Hadithi zipo na zitaendelea kuwepo na zitaendelea kuhadithiwa.

Lakini siyo hadithi utowe wewe au Shaikh wako au Shaikh wa Shaikh wako halafu msingizie hiyo "hadithi ya Mtume". Hilo ndilo nakataa mimi.

Hadith inabaki kuwa masimulizi ya msimulizi wa hiyo "hadith" na si ya anaetajwa katika hiyo "hadith".

Umeelewa?
 
Bado hujaweka wazi unazikubali hadithi kwenye uislamu? Na mfano wa hadithi unazokubali ni zipi ?
 
Vipi msimamo wako kuhusu Hadithi ?

Mbona unarukaruka mama ...
Naona kule unajaribu kila njia kuharibu mada ya Mrembo wa Karne Bi.Mariam, ndiyo maana nakuvuta hapa nikujibu maswali yako.

Kwanza tuanze kuchambua moja moja katika post yako, usijali, nitakujibu yote kila moja kivyake ndiyo maana nayapunguza mengine ili wasomaji na wewe upate kujuwa kiurahisi, kwani "aulizae ataka kujuwa" na ndiyo maana ya uzi huu...

Hilo nimeshakujibu, soma post namba 3001.
 
Bado hujaweka wazi unazikubali hadithi kwenye uislamu? Na mfano wa hadithi unazokubali ni zipi ?
Kanisome tena juu hapo. Umeelewa nilichokiandika post namba 3001 kukujibu au hujaelewa?

Au hujalipenda jibu?

Au kichwani kwako tayari una majibu na hayakuendana na nilichokujibu?
 
MTUME ameshasema hajui atakachofanywa wala nyie mnaomfuata

Hapana si kweli, hayo ni mafundisho utayapata ndani ya Qur'an kwenye Surat ya 46 - Al ah Qaaf* Aya ya 9 lakini ili uipate maana yake vizuri inabidi usome "context" ambayo nimekuwekea hapa chini...

Qur'an 46
46_7.gif

7. Na wanapo somewa Aya zetu zilizo wazi, walio kufuru husema juu ya haki inapo wajia: Huu ni uchawi dhaahiri. 7

46_8.gif

8. Au wanasema: Ameizua mwenyewe! Sema: Ikiwa nimeizua mimi, basi nyinyi hamwezi kunifaa chochote mbele ya Mwenyezi Mungu. Yeye anajua zaidi hayo mnayo ropokwa; anatosha kuwa shahidi baina yangu na nyinyi. Na Yeye ndiye Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu. 8

46_9.gif

9. Mimi si kiroja miongoni mwa Mitume. Wala sijui nitakavyo fanywa wala nyinyi. Mimi nafuata niliyo funuliwa tu kwa Wahyi, wala mimi si chochote ila ni mwonyaji mwenye kudhihirisha wazi. 9

46_10.gif

10. Sema: Mwaonaje yakiwa haya ni kweli yametoka kwa Mwenyezi Mungu, nanyi mmeyakataa, na akashuhudia shahidi miongoni mwa Wana wa Israili juu ya mfano wa haya, na akaamini, na nyinyi mnafanya kiburi? Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu.
10

*Kwa kukupa ilm tu, neno "cave" la Kiingereza limetokana na neno la Kiarabu Qaaf)
 
Vipi kamari nayo ni haramu?

Soma...

Qur'an 2:
2_219.gif

219. Wanakuuliza juu ya ulevi na kamari. Sema: Katika hivyo zipo dhambi kubwa na manufaa kwa watu. Lakini dhambi zake ni kubwa zaidi kuliko manufaa yake. Na wanakuuliza watoe nini? Sema: Kilicho chepesi. Namna hivi Mwenyezi Mungu anakubainishieni Aya zake mpate kufikiri-- 219

Qur'an 5:
5_90.gif

90. Enyi mlio amini! Bila ya shaka ulevi, na kamari, na kuabudu masanamu, na kupiga ramli, ni uchafu katika kazi ya Shet'ani. Basi jiepusheni navyo, ili mpate kufanikiwa. 90

5_91.gif

91. Hakika Shet'ani anataka kutia kati yenu uadui na chuki kwa ulevi na kamari, na akuzuieni kumkumbuka Mwenyezi Mungu na kusali. Basi je, mmeacha? 91

5_92.gif

92. Na mt'iini Mwenyezi Mungu, na mt'iini Mtume, na tahadharini. Na ikiwa mtageuka basi jueni ya kuwa juu ya Mtume wetu ni kufikisha ujumbe tu ulio wazi.
92
 
Ndugu unapata wapi jeuri ya kusema hakuna mwislamu anayekataa hadithi wakati tayari @Faizyfoxy tayari ni mwislam ila kakataa kata kata kupokeA masimulizi

Happy dude [emoji67]‍[emoji538]

Naona wewe na mshirika wako anaejiita safuher mnajaribu kila njia kuiharibu mada ya Mrembo wa Karne Bi Mariam.

Soma...

Msimamo wangu kuhusu hadithi upo very simple na clear. Nisome vizuri...

Hadithi zipo na zitaendelea kuwepo na zitaendelea kuhadithiwa.

Lakini siyo hadithi utowe wewe au Shaikh wako au Shaikh wa Shaikh wako halafu msingizie hiyo "hadithi ya Mtume". Hilo ndilo nakataa mimi.

Hadith inabaki kuwa masimulizi ya msimulizi wa hiyo "hadith" na si ya anaetajwa katika hiyo "hadith".

Umeelewa?
 
Kanisome tena juu hapo. Umeelewa nilichokiandika post namba 3001 kukujibu au hujaelewa?

Au hujalipenda jibu?

Au kichwani kwako tayari una majibu na hayakuendana na nilichokujibu?
Post 3001 hujaweka wazi kama katika uislamu unazikubali hadithi au unazikataa ,na kama.unazikubali ni za aina gan utoe namfano na kama unazikataa ni sababu gani na uweke mfano ,ili tunapojadili na wewe ,tujue tunajadili na mtu wa aina gani, isije tukawa tunakupa rejea za hadithi kumbe huzikubali .

Ni hayo tu mama
 
Mkuu huyo mama hakubali hadithi yeyote ile kwa mujibu wa maneno yake.hana hadithi atakayoikubali ambayo haina chain ya wapokezi ambao ni ushahidi kuwa kweli imetoka kwa Mtume.

Kwa hyo hana hadithi ambayo haikupita kwa watu na kusimuliwa.

Mfano hadithi fulani ipo katika bukhari,bukhari kaipokea kutoka kwa fulani,na fulani kaipokea kwa fulani na fulani kaipokea kwa fulani,na fulani kaipokea kwa fulani na fulani kaipokea kutoka kwa abuu hurayra na abuu hurayrah kaipokea kutoka kwa Mtume.

Hadithi ndo zinaenda hvyo.hakuna hadithi atakayoikubali ambayo haina chain kama hiyo.

Kwa hyo manake anakataa hadithi jambo ambalo halifanyi muislamu.

Back
Top Bottom