Hizo naziweka pindi ukishajibu maswali yangu. Ondoa shaka juu ya hilo. Wewe jibu maswali nikuwekee aya nyingine. Tuna hazina bibie.Vipi Aya zako ukizoahidi kuleta za adhabu za kaburi kwenye Qur'an yamekushinda? Huwezi na hutoweza kuleta porojo ya adhabu ya kaburi ndani ya Qur'an.