Cute Wife
Platinum Member
- Nov 17, 2023
- 3,054
- 8,449
Bunge la Ulaya limeteua wagombea watatu walioingia hatua ya fainali kuwania ya Tuzo ya Sakharov ya Uhuru wa Firka mwaka 2026, ikiwa ni utambuzi wa juhudi zao katika kutetea Haki za Binadamu, Uhuru na Demokrasia.
Walioingia Fainali (tatu bora) ni:
• Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) na maafisa wake
• Tundu Lissu, Tanzania
• Taraneh na Romina Rahimi, Iran
Tuzo ya Sakharov huwatambua watu binafsi na mashirika yanayosimama kidete kutetea haki za binadamu na uhuru wa kimsingi kote ulimwenguni.
Mshindi atatangazwa tarehe 22 Oktoba 2026, huku sherehe za utoaji wa tuzo hiyo zikifanyika mjini Strasbourg wakati wa kikao kikuu cha bunge cha mwezi Desemba.
Unadhani nani ataibuka mshindi?
Pia soma
~ https://www.jamiiforums.com/threads...astahili-kutunukiwa-tuzo-ya-sakharov.2484779/
~ https://www.jamiiforums.com/threads...eshima-ya-sakharov-ya-umoja-wa-ulaya.2478214/
~ https://www.jamiiforums.com/threads...tisha-lissu-kuwania-tuzo-ya-sakharov.2477834/
~ https://www.jamiiforums.com/threads...idi-inayotolewa-na-umoja-wa-ulaya-eu.2472573/