Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 26,000
- 25,342
Mdada umevimba...daadeki pasuka !!!ok.
the family š
Mdada umevimba...daadeki pasuka !!!ok.
the family š
Wauji lazima wanune
si yuko na mkaka wake kwanini asivimbe aise na anampigania apate tunzo hiyo ya kimataifa šMdada umevimba...daadeki pasuka !!!
Wampe Samia, anaupiga mwingi machawa wasema
Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, ana Tanzania na watu wake tayari. Hana haja ya hivyo vikitu vya ajabu ajabu na kijinga na kishoga. Ye ukitaka kujua njoo ujaribu kuichezea na kuoharibu Tanzania yake........gen z wa Kenya hawana hamuššššUnaonaje apewe bi Eda.
Bado hujajibu swali mkuu. Nimeuliza hiyo tuzo ni ya ushoga wa kitaifa au kimataifa?!!!Kumbe wewe ni taahira wa kudumu!! Una maana huna akili hata ndogo kabisa ya kukufanya angalao tu uonekane ni mwanadamu? Hapo unachomzidi nguruwe ni uwezo wa kuongea tu!!
mbona kama umekereka?si yuko na mkaka wake kwanini asivimbe aise na anampigania apate tunzo hiyo ya kimataifa š
ni fedheha sana aise kwa wanaume kua familia ya jamii moja. Eti ndio ndio haki. Inasikitisha sana na kwakweli inafedhehesha sana aise gentleman šmbona kama umekereka?
Akikosa tundu , wapewe ICJ. Hapo baadae waje washughukie nyonya damu.Viva TUNDU
Watazunguka Nchi nzima na hii tuzoMimi naanza kuwaza hawa viongozi wetu wakisikia Mh. Lissu ameshinda hiyo tuzo wao watakuwa na hali gani. Msije mkashangaa kina Kombo, Bashite, Kabudi wakaibukia sehemu mbalimbali kwenda kuhonga na kuandaa tuzo feki kwa Samia.
Hiyo "Mahakama" haistahili hata kuwepo kwenye orodha hiyo.Unadhani nani ataibuka mshindi?
Hii Tuzo Mwamba anachukuaNaamini Tundulissu maamuzi ya Mahamaka kuu yataongeza chache ya uteuzi huu. Assume akipata na kaenda kuipokea, sasa anarejea DSM! Itakuwaje hapa daslam
Tofauti yako na hao wengine ni kama bado unazo akili za kufikiri kichwani mwako.Hizo risasi ameramba mwaka huu au hujui kuwa vigezo vinaenda na mwaka husika?
Basi hongera kwake kuizidi hadi Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (I CC) na maofisa wake wote.Tofauti yako na hao wengine ni kama bado unazo akili za kufikiri kichwani mwako.
Sasa kama takwa kuu la hiyo tuzo ni kazi iliyofanyika mwaka huu, Tundu Lissu hana mshindani kwa kazi yake kubwa aliyopigana akiwa gerezani. Hiyo kesi yake na alivyojitetea inatosha kabisa kumtunuku tuzo hiyo bila ya ushindani wowote.
Hakika mkuu, hao mapacha wa Wairan wanapambana wakati wakiwa nje ya nchi yao, TL anapambana bila woga akiwa ndani ya nchi yake.Tundu ndo anapaswa kuchukua, he survived all them bullets and still stood his ground and kept the fight on
acha ushenziSakhov ndo tuzo ya ushoga wa kitaifa au kimataifa?!!!
Nani anajali kwanza?!! Wakitaka wampe na urais wa ulaya, lakini hapa Tanzania tunarudia kusema "Big No" kwa huyo mke wa wabelgiji.
Hatari sanaHakika mkuu, hao mapacha wa Wairan wanapambana wakati wakiwa nje ya nchi yao, TL anapambana bila woga akiwa ndani ya nchi yake.
Vv