Fainali Tuzo ya Sakhrov 2026: Tundu Lissu aingia Tatu Bora, Mshindi kutangazwa Oktoba 22

Give me a break, kwahiyo wewe unapokuja kwenye hii thread ya Lissu hauhangaiki unafanya utalii.
Kuna wifi ya Bure hapa nilipo na korosho Huku liwale tumeshapeleka ghalani hivyo nipo free nawacheki manyumbu na kuwasanua.
 
Watu wote wenye Roho wa Mungu, wanajua kuwa Tundu Lisu ni mtu aliyejitoa sadaka kwaajili ya Watanzania wanaodhulumiwa haki zao, mpaka haki za kuishi. Tunamshukuru Mungu maana Ulimwengu umemtambua, na kupitia yeye, mateso na dhuluma za watawala dhidi ya Watanzania zimefahamika kwa Ulimwengu mzima.

Siku zote, shetani huwahadaa wanadamu kwa kuwapa ushindi wa muda tu, kisha huwaangamiza. Lazima, hata kama si kesho au mwaka huu au mwakakesho, madhulumati yote ya haki yatapitia nyakati ngumu ambazo zitawafanya watambue kuwa shetani ni bingwa wa hadaa.
 
Bunge la Ulaya limeteua wagombea watatu walioingia hatua ya fainali kuwania ya Tuzo ya Sakharov ya Uhuru wa Firka mwaka 2026, ikiwa ni utambuzi wa juhudi zao katika kutetea Haki za Binadamu, Uhuru na Demokrasia.

Walioingia Fainali (tatu bora) ni:
• Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) na maafisa wake
• Tundu Lissu, Tanzania
• Taraneh na Romina Rahimi, Iran

Tuzo ya Sakharov huwatambua watu binafsi na mashirika yanayosimama kidete kutetea haki za binadamu na uhuru wa kimsingi kote ulimwenguni.

Mshindi atatangazwa tarehe 22 Oktoba 2026, huku sherehe za utoaji wa tuzo hiyo zikifanyika mjini Strasbourg wakati wa kikao kikuu cha bunge cha mwezi Desemba.

Unadhani nani ataibuka mshindi?

Pia soma
~ https://www.jamiiforums.com/threads...astahili-kutunukiwa-tuzo-ya-sakharov.2484779/

~ https://www.jamiiforums.com/threads...eshima-ya-sakharov-ya-umoja-wa-ulaya.2478214/
~ https://www.jamiiforums.com/threads...tisha-lissu-kuwania-tuzo-ya-sakharov.2477834/
~ https://www.jamiiforums.com/threads...idi-inayotolewa-na-umoja-wa-ulaya-eu.2472573/
Hii TUNDU LISSU anapita nayo mapema sana sana. Mitano tena kwa Samuya
 
Dah noma 😂😂
Kwahiyo Lissu anashindanishwa na mahakama ya ICC na hao watu waweil kwa pamoja , halaf yeye peke yake ? 🤣🤣🤣🤣🤣.
Hii sasa ndio penat halaf kipa katoka
🤣🤣🤣🤣
 
Bunge la Ulaya limeteua wagombea watatu walioingia hatua ya fainali kuwania ya Tuzo ya Sakharov ya Uhuru wa Firka mwaka 2026, ikiwa ni utambuzi wa juhudi zao katika kutetea Haki za Binadamu, Uhuru na Demokrasia.

Walioingia Fainali (tatu bora) ni:
• Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) na maafisa wake
• Tundu Lissu, Tanzania
• Taraneh na Romina Rahimi, Iran

Tuzo ya Sakharov huwatambua watu binafsi na mashirika yanayosimama kidete kutetea haki za binadamu na uhuru wa kimsingi kote ulimwenguni.

Mshindi atatangazwa tarehe 22 Oktoba 2026, huku sherehe za utoaji wa tuzo hiyo zikifanyika mjini Strasbourg wakati wa kikao kikuu cha bunge cha mwezi Desemba.

Unadhani nani ataibuka mshindi?

Pia soma
~ https://www.jamiiforums.com/threads...astahili-kutunukiwa-tuzo-ya-sakharov.2484779/

~ https://www.jamiiforums.com/threads...eshima-ya-sakharov-ya-umoja-wa-ulaya.2478214/
~ https://www.jamiiforums.com/threads...tisha-lissu-kuwania-tuzo-ya-sakharov.2477834/
~ https://www.jamiiforums.com/threads...idi-inayotolewa-na-umoja-wa-ulaya-eu.2472573/
Mimi naanza kuwaza hawa viongozi wetu wakisikia Mh. Lissu ameshinda hiyo tuzo wao watakuwa na hali gani. Msije mkashangaa kina Kombo, Bashite, Kabudi wakaibukia sehemu mbalimbali kwenda kuhonga na kuandaa tuzo feki kwa Samia.
 
Bunge la Ulaya limeteua wagombea watatu walioingia hatua ya fainali kuwania ya Tuzo ya Sakharov ya Uhuru wa Firka mwaka 2026, ikiwa ni utambuzi wa juhudi zao katika kutetea Haki za Binadamu, Uhuru na Demokrasia.

Walioingia Fainali (tatu bora) ni:
• Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) na maafisa wake
• Tundu Lissu, Tanzania
• Taraneh na Romina Rahimi, Iran

Tuzo ya Sakharov huwatambua watu binafsi na mashirika yanayosimama kidete kutetea haki za binadamu na uhuru wa kimsingi kote ulimwenguni.

Mshindi atatangazwa tarehe 22 Oktoba 2026, huku sherehe za utoaji wa tuzo hiyo zikifanyika mjini Strasbourg wakati wa kikao kikuu cha bunge cha mwezi Desemba.

Unadhani nani ataibuka mshindi?

Pia soma
~ https://www.jamiiforums.com/threads...astahili-kutunukiwa-tuzo-ya-sakharov.2484779/

~ https://www.jamiiforums.com/threads...eshima-ya-sakharov-ya-umoja-wa-ulaya.2478214/
~ https://www.jamiiforums.com/threads...tisha-lissu-kuwania-tuzo-ya-sakharov.2477834/
~ https://www.jamiiforums.com/threads...idi-inayotolewa-na-umoja-wa-ulaya-eu.2472573/
Tundu is the Winner- Prophet Josephat
 
Back
Top Bottom