Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,078
Sasa analalamika nini ?!. Ukishajichanganya ukazaa na mwenye family nyingine, inabidi ufuate utaratibu.Mama yake hataki hata kumsikia yule mke wa Sugu
Wewe mimi mwanaume, huo ni mlupo hauna hata ladha yoyote.Mkuu tumia tu kinga inatosha...mademu wa hivyo nasikia wana vitu amazing
Bado ana hisia kali kwa baba wa mtoto, aamini kama wameachanaHata mimi nahisi
Faiza hataki pesa za Sugu kwa maelezo yake bali mtoto wake Sacha anamsumbua kutaka kuzungumza na baba yake na kilio juu Sugu kagoma kuzungumza na mtoto.Faiza anaboa wa kwanza kusimanga wenzie hawana watoto kisha wa kwanza kujipa uvictim. Yeye si superwoman ampotezee tu sugu na kulea mwanae.
Mwenzie flora mvungi alijua kakosea na kujuta kuhusu hbaba kisha akamove on ila huyu anayejiona dada wa mujini kutaka kuishi kwa mashindano kwa pesa za sugu lazima akusanye drama mitandaoni aonewe huruma.
Anajisahaulisha kuwa sugu alishinda kesi ya custody ya mtoto na ana haki ya kumchukua muda wowote atakao
Hakuna drama zozote. Huyu mama akili zake haziko sawa. Halafu inaonyesha bado anampenda sana Sugu ila hamna tena namna. Anatumia mtoto kama kinga yake. Ni bora Sugu angafanya manuva amchukuwe huyu mtoto kwa sababu ukubwani atakuja kuwa kama huyu kahaba.Ni ngumu sana kudeal na mwanamke kama Faiza na drama zake.
Sometimes inabidi ukae mbali naye kuokoa familia
Unamtetea bure lakini jamii inaujua ukweli.Faiza hataki pesa za Sugu kwa maelezo yake bali mtoto wake Sacha anamsumbua kutaka kuzungumza na baba yake na kilio juu Sugu kagoma kuzungumza na mtoto.
Mwanamke akijua una hela shobo haziishiBado ana hisia kali kwa baba wa mtoto, aamini kama wameachana
Bongo kwa nini mtu mzima akifanya kitu inaonekana kama ameshauriwa? Hata rais akikosea utasikia lawama zinaenda kwa ''washauri wake''. Watu kama hawa hawachukuwi ushauri popote.Sijui nani huwa anamshauri Faiza. Katika kitu ambacho Faiza alikosea ni kumtukana matusi ya nguoni mtandaoni mwanaume aliezaa nae. Sitaki kumtetea Sugu wala faiza labda wote wana makosa siwezi kuhukumu. Lakini nnae muonea huruma ni Sasha. Ndo anaeathirika.
Na anayafanya hasa akiamini labda ukaribu utarejeaMwanamke akijua una hela shobo haziishi
Ndiyo sababu hasa. Mpaka kiama bado atakuwa anamkumbuka Sugu.Mwanamke ujisikia vibaya sana anapoachwa kwa upumbavu wake
Mtoto ana miaka mingapiIla Faiza bwana yani mtt akienda kwa baba yake anasema yule Happy anamloga mwanae ampende π π kumbe mtoto amemzidi mama busara anaishi na yule mama wa kambo kama mama yake
Simtetei bali naona wote wanamtesa mtoto wao kwa hiyo Sugu kukataa kuzungumza na mtoto ni jambo jemaUnamtetea bure lakini jamii inaujua ukweli.
Mke wa Sugu anampenda sana huyo mtoto..akichukuliwa kwenda hata likizo mama yake akiona wanaambatana analiamsha tena.
Fuatilia vizuri ili uhukunu kwa haki.
Huyu malaya anataka kula kupitia mgogi wa mtoto