Faiza Ally amjia juu mzazi mwenzie Sugu na anajuta kuzaa nae

Faiza Ally amjia juu mzazi mwenzie Sugu na anajuta kuzaa nae

Nadhani tuanze kupitia sheria na taratibu zetu ili watoto wakue katika mazingira wanayostahili. Haya mambo ya wazazi kumuona mtoto kama kitu flani anachoweza kukifanya atakavyo si sawa. Huyo sasha anaweza kuwa anasoma good school na anakaa fresh ila hizi tabia zitakuja kutoa majibu baadae

Inshort mtoto hayupo salama kihisia na kiakili sababu ya drama zisizomuhusu
 
Tunakushukuru kwa kaz nzuri ya kufatilia maisha ya watu na kutusogezea
 
Betri low kuna siku nilimkuta airport akimporomoshea mtu matusi mazito ya nguoni kwa sauti uwanja mzima. Nadhani hata watu wa security waliona ana shida ya mental health
Duuuh...maybe something is wrong
 
Ameshindwa kumove on na maisha yake sababu nyakati si ukuta tena anatamani siku zirudi nyuma arekebishe lakini ndo hivyo nafasi ishafungwa. Hana tofauti na bashiru baada ya kuona chance ya kuzitafuna tena kodi zetu hawezi pata tena kaona ajifanye mwanaharakati.
 
Nadhani tuanze kupitia sheria na taratibu zetu ili watoto wakue katika mazingira wanayostahili. Haya mambo ya wazazi kumuona mtoto kama kitu flani anachoweza kukifanya atakavyo si sawa. Huyo sasha anaweza kuwa anasoma good school na anakaa fresh ila hizi tabia zitakuja kutoa majibu baadae

Inshort mtoto hayupo salama kihisia na kiakili sababu ya drama zisizomuhusu
Mama anatakiwa atulie akubali matokeo, mambo ya matunzo yatajileta tu yenyewe
 
Huyu mmama nilijua kashakubali ukweli kwamba Sugu sio wake tena bali ni mzazi mwenzake tu. Hizo kelele hapo hamna lolote aseme tu bado anamtaka Sugu. Eti sura mbaya wakati anamchanulia miguu hakuiona hiyo sura mbaya? Kuwa na mama hivi ni hasara sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Happy Sugu sasa na yeye huko Insta anavyojishaua sasa...mara nipo hotel desderia mara nilikutana na Sugu wakati nafanya kazi Byuro de chenji mara alienda ulaya akaniletea pafyumu baaasi itakua inamvuruga sana Faiza.
 
Back
Top Bottom