Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Lazima ujiulize why akatae?Simtetei bali naona wote wanamtesa mtoto wao kwa hiyo Sugu kukataa kuzungumza na mtoto ni jambo jema
Ikiwa ali fight hadi mahakamani why leo agome?
Nani asiyejua maumivu ya kutukanwa anayopitia Sugu?
Sugu ametukanwa sana hadi bungeni na alilia machozi sana ana akaeleza masahahibu anayopitia kupitia huyo mtoto na dunia iliona.
Siungi mkono baba asiyetunza watoto lakini siungi mkono uonevu na manyanyqso anayopiria Sugu.
Yaani kama vile Sugu alizini na shetani kutwa kusimangwa na kutukanwa.
Ingekuwa mimi huyo mwanqmke angekua kilema muda mrefu sana