Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,564
- 34,341
Huyu mama ana shida zake binafsi anazijua yeye.Yaani kichambo hicho kisa mtoto anataka kuongea na babake [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu mama ana shida zake binafsi anazijua yeye.Yaani kichambo hicho kisa mtoto anataka kuongea na babake [emoji23][emoji23][emoji23]
Possibly!!
Ushaskia mtu anaitwa SUGU[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Inabidi tu uwe mpoleeHa ha ha....hapo usikute alizaa na mwanaume mwngn ili amtishe sugu[emoji28]
[emoji16][emoji16] mkuu umejuaje?Namshukuru Mungu sikuzaliwa na malaya
Mkuu lakini huwezi kumwita binadamu takataka bado...hapa ndo hoja yangu inapolaliaHivi Faiza kama sio takataka ni kitu gani.
Yule Dem ni takataka za chini zilizooza. Yule hata uchi wake unakoma. Ni katili anamuathiri mtoto. Anamdhalilisha mtoto. Sugu ni sugu miaka na miaka.
Yaani hata nyimbo, hotuba zake ni sugu utamsikiliza na ninyi mnamsikiliza na Faiza anamsikiliza. Faiza ana genye.
Mwenzake katoka jasho kuwapendezesha watoto yy anajipostia tu[emoji1787]Alijuta kila kitu. Wanae wanalelewa kwao frola.hbaba kazi kuwapost akiona wamependeza naona frola akapungiza kuwapost.
Haya ndo yale manaume yakienda bar yakakuta ule wimbo nipo nyoyo yanaitikia nipo titiAhahahhahhahahhahahhahha [emoji2957][emoji2957]
Humu wanamlalamikia tu Faiza hawaoni ubaya wa SuguHad mie, nachompendea hana woga wala hofu, afu anaongea ukweli, hana drama za kujifichaa, yuko real kwa kifupi.
Hivi inakuwaje Sugu hamuoni shida yake?Honestly Faiza anahitaji matibabu.....sad anaharibu future ya mtoto asiye na hatia
Angalie usije kuwa kama faiza ni mpumbavu mnoAnapoharibu ni kuweka haya mambo kwny mitandao nadhani baadae Sasha akikua yatamuathiri kisaikolojia...maybe ni kweli anapitia kipindi kigumu ila nadhani angeyatatua privately
Mkuu uneongeaa kweli tu tuakae mbali na wanawake wapumbavu ,namm nimefanya kosa kama la sugu nimezaa na mwanmke kimeo hataruKila siku ninawaambiaga kaeni mbali na wanawake wajinga oooh mtapiga na kukimbia...utakimbia lkn mbegu ulizoziacha kwake zitakuadhiri...ona sasa
Pole sana mkuu.Mkuu uneongeaa kweli tu tuakae mbali na wanawake wapumbavu ,namm nimefanya kosa kama la sugu nimezaa na mwanmke kimeo hataru
Uko saahih sanaKwa sisi wenye watoto nje tumemuelewa zaidi; tatizo sio matunzo, anataka aendelee kupelekewa moto, bila kujali madhara yatakayotokea kwenye ndoa.