Faiza Ally amjia juu mzazi mwenzie Sugu na anajuta kuzaa nae

Faiza Ally amjia juu mzazi mwenzie Sugu na anajuta kuzaa nae

Madhara ya kuzaa na kahaba ni makubwa kisiasa, kiuchumi, na kijamii.

Akiisha andika hivyo kwenye page yake, kusanyiko la makahaba wengine wana muunga mkono. AJABU hakuna kitakacho badirika.Naam hao ndio wanawake wanao jitambua
 
Kwa sisi wenye watoto nje tumemuelewa zaidi; tatizo sio matunzo, anataka aendelee kupelekewa moto, bila kujali madhara yatakayotokea kwenye ndoa.
Haswaa... Baby mamas wengi hawatakagi mtu uoe..au ukioa basi muendelee kufyatuana.. pia matumizi wanayoombaga hayaendani na uasilia
 
Mara amtukane mfiraji ana kibamia,sema anampendea pesa.Faiza angekuwa na pesa wala asingehangaika na Sugu.Sema maisha yakimpiga anakumbuka angekuwa na Sugu kungekuwa na mseleleko
Kweli kabisaa
 
Kwa sasa anaepata raha ni sugu nadhani Happy atafanya kila njia asimuudhi Sugu kwa sasa maana anaogopa asije pasha kiporo cha Faiza
 
Back
Top Bottom