Utumbo si twalia ndizi nyinyi si mnatupaKuna wanaume wanapenda sana kubeba misalaba. Mwenzio ananyoosha mikono kuachilia
Mkuu, ni suala la kisaikolojia zaid. Kuna wanaume wanapenda sana 'damsel in distress'. Yaan jamaa anapenda madem wenye matatizo. Mara nyingi huwatokea wanaume ambao hawana mahusiano mazuri na mama zao.Utumbo si twalia ndizi nyinyi si mnatupa
[HASHTAG]#AinaMakombo[/HASHTAG]
Nimecheka Sana MkuuUtumbo si twalia ndizi nyinyi si mnatupa
[HASHTAG]#AinaMakombo[/HASHTAG]
Ushaanza kujifanya mwalimu wa saikolojia. Haya, sawa lakini.Mkuu, ni suala la kisaikolojia zaid. Kuna wanaume wanapenda sana 'damsel in distress'. Yaan jamaa anapenda madem wenye matatizo. Mara nyingi huwatokea wanaume ambao hawana mahusiano mazuri na mama zao.
Kama unalijua hilo mbona unashangaa sasa!!!!Mkuu, ni suala la kisaikolojia zaid. Kuna wanaume wanapenda sana 'damsel in distress'. Yaan jamaa anapenda madem wenye matatizo. Mara nyingi huwatokea wanaume ambao hawana mahusiano mazuri na mama zao.