ObieTrice
Senior Member
- Jun 27, 2017
- 159
- 154
FAIZA ALLY mke wa sugu wa Zamani a.k.a mama Sasha ambaye ni mjamzito anakaribia kujifungua hivi karibuni kapost post ya utata instagram ambayo ikimonyesha akipokea bonge la busu kutoka kwa muigizaji wa kiume wa bongo movie gabo zigambo na kuandika maneno haya "Baba kijacho wangu ❤️ love you "