edwayne
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 8,919
- 9,797
Ndio hivyo.Ndiyo ashazikosa sasa. Ile juzi yeye ndiyo angekuwa na madam prezidaa
Namsindikiza na kibao cha nimechezea bahati cha dully Sykes and Sijui Nani yule
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio hivyo.Ndiyo ashazikosa sasa. Ile juzi yeye ndiyo angekuwa na madam prezidaa
Shughuli ya mtoto wakitaa kitandani unaijua unaisikia collision aliyokua anaipata kwa mwamba pengine ndo shida harafuHUYU DADA KAACHWA KAMA MIAKA KUMI SASA IMEPITA ILA BADO TU..
AKIENDELEA MIAKA ISHIRINI IKATIMIA AJENGEWE SANAMU LAKE MAKUMBUSHO
...NA AINGIZWE KWENYE REKODI YA MWANAMKE ALIEKATAA KUACHIKA KWA MDA MREFU ZAIDI
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Akimdekeza ataambiwa anajipendekeza, akimkazia ataambiwa Mama wa kambo ana roho mbaya ......I can imagine wataishi maisha ya aina gani humo ndani
Omba omba clan!!Ndugai Nation....Mgogo
best comment ever!!!Nipe namba zake nitamvumilia
Ni kama Mange.Faiza ni mgonjwa wa akili.
Man X yuleNdio hivyo.
Namsindikiza na kibao cha nimechezea bahati cha dully Sykes and Sijui Nani yule
Mbona hamliliagi baba Li au huyo hajamgusa kunakoHuku kila leo anamlilia huyo Mfi**ji, anampenda kufa.
Kuna mwanamke nimezaa nae drama zake kama za Faiza tena ana matusi hatari,kuna walati mtt alikuwa kwangu kwenye michezo michezo yao watt akajeruhiwa kidogo hayo maneno yake sasa,kutokana na maneno yake sikutaka tena mtt aje kwanguI don't why can't she accept defeat kua Sugu is no longer hers!Kwenye maisha Kuna kuacha na kuachwa!either kifo n.k yeye alidhani Joseph hatamuoa Happy maana alimdhalilisha mpk ndoa yake ya mwanzo lakini Mungu amempa Tena Happy Tena pakubwa Sanaa ,Faiza anaumia Yule haoni shida kuua!
Alichomtendea Sasha kitamgharimu Sana!afu anaonekana anamtia Sumu Sana mwanawe Ila inashindwa kukolea!
Mimi ningekua happy to be honest nisingemtaka Yule mtoto kwangu au Akija adeal na baba ake tu, maana kudeal na kichaa Kama Yule it needs Mungu Sanaa!!!maana Akija kutembea ht akiumwa ntakua na mawazo na presha na mama yake!
Mbona unacomment kama vile ww ni dada yake Faiza,hebu tuambie Sugu amekosea wap dada?Sugu Kuna sehemu ameshindwa kusimama kama father, mtazunguka kote but Sugu angesimama kama baba huu ushenzi ungeisha sio kwa huyo na wala kwa yule,
Sugu ndiye Tatizo hapa..
Eti Ndugaaaiiiii nation 🤣Ndugai Nation....Mgogo
Eti kulabuaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mwanamke akikupenda AF akakupoteza yuko radhi afanye chochote hata kibaya lakini sio aone mwanamke mwingine anafaidi penzi lako. Sasa Faiza alijua akimuacha sugu jamaa atapoteana lakini anavyokuja kushangaa Mwamba Jongwe akiendelea kupeleka moto chini na mambo yakimnyookea kinamuuma sana na hata ile event yake ambayo mpk rais alitimba nadhani ile imeenda kulabua kitu kizito sana kwa Faiza ndo maana unaona kelele zote
Huko China alikuwa anaendaje kama ngeli haipandi [emoji2]Kati ya vitu vyote napenda sana clip za Sasha[emoji28][emoji28]
Yan yule mtoto kapewa simu na kakaririshwa yale maneno kwa kiswahili, ( Faiza hajui ngeli) yy kayatranslate in English halafu uso mkavu kabisa[emoji848]
Huyo mtoto kaishamharibia future in all aspects [emoji848]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]HUYU DADA KAACHWA KAMA MIAKA KUMI SASA IMEPITA ILA BADO TU..
AKIENDELEA MIAKA ISHIRINI IKATIMIA AJENGEWE SANAMU LAKE MAKUMBUSHO
...NA AINGIZWE KWENYE REKODI YA MWANAMKE ALIEKATAA KUACHIKA KWA MDA MREFU ZAIDI
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Mbona hamliliagi baba Li au huyo hajamgusa kunako
Sugu inaonekana alimfikisha Faiza kilele ambacho ajawah fikishwa mpk leo na mwanaumee yyt ktk mapenzi ,ndio maana ana haha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Daaahhh...pole Sana wanawake sisi baadhi ni vichomi Sana,amesababisha mtoto asiinjoi na baba akeKuna mwanamke nimezaa nae drama zake kama za Faiza tena ana matusi hatari,kuna walati mtt alikuwa kwangu kwenye michezo michezo yao watt akajeruhiwa kidogo hayo maneno yake sasa,kutokana na maneno yake sikutaka tena mtt aje kwangu