Faiza Ally (Ex wa Sugu) na battle isiyoisha kwa Mke wa Sugu

Faiza Ally (Ex wa Sugu) na battle isiyoisha kwa Mke wa Sugu

Si kuna vitu tu nachukulia poa Oddo.
Sijui nianze kuwa kama shangazi zangu!
Ah zamani ndo kulikuwa kuna uwifi nakwambia, kitu mume/kaka hapumui.
Siku hiz mawifi tunasindikizana kwa mabwana?
MXXXXXXXIIIIIIE
Hahahaha wifi hutaki mke wa kaka apate tabu 🤣🤣🤣🤣
 
Mawifi wa mchongoo
yaniii!
Ngoja nikachukue manual user ya uwifi kwa shangazi yangu mkubwa.#
Kuna namna alikuwa yule wifi kindaki ndaki.
Mamangu kila ukimkosea alikuwa anasema '' kichwa kama shangazi yako, jeusi kama shangazi yako , miguu baja kama shangazi yako''
Itakuwa shangazi yangu alikuwa noma sana pande za uwifi.
Sasa mi mambo ya kuwa Wifi darling niachane nayo.
Nibaki kuwa Wifi Mkubwa.
Mke aniogope kuliko mumewe , sheeenzi!
 
Mawifi wa zamani walikuwa Moto...yaani wifi akilianzisha mbona ndoa utaiona chungu
 
Si amesema eti juzi kwenye event Mrs Mbilinyi alimsukuma mtoto akadondoka na bado akawa anamlazimisha akalale naye. Sasha asukumwe adondoke afu Faiza asipandwe na kichaa hehehe.

Anakapandikiza sumu kale katoto, ila kale katoto kataishi kwa tabu kwa sababu ya upumbavu wa mama yake.
Pale ndo niliona mnaafki wa kwanza duniani!hivi kale kashankupe kasukumwe kaache kusema, na faiza aache kuongea siku zote hizoo!!!
Uongo mtupu wanaleta mtu na Mama ake!
 
itakua alimzoesha michezo ya sodoma sahivi haipati tena ndo maana anadata bado hajakutana na firauni Mwingine wa kumchezesha hizo michezo atapona tu na atamsahau ex
 
Pale ndo niliona mnaafki wa kwanza duniani!hivi kale kashankupe kasukumwe kaache kusema, na faiza aache kuongea siku zote hizoo!!!
Uongo mtupu wanaleta mtu na Mama ake!
"kashankupe"
Hebu uwe na akiba ya maneno, usimuite mtoto wa mwenzio hivyo. Kumchukia faiza kusiwatoe ufahamu kumhusisha mtoto na ujinga wa mama yake. Faiza ni mental case na inajulikana, hivi ukimprovoke kichaa nawe unaitwaje?
 
Back
Top Bottom