Faiza Ally (Ex wa Sugu) na battle isiyoisha kwa Mke wa Sugu

Nafikiri kinachosababisha yule step mom wa SASHA kutokumpost ni yale matusi ya faiza kwa happy, mara mgumba, mara zaa wako, yaan faiza ana hasira juu ya maisha ya sugu na mkewe bila sababu. Ukute happy anampenda tu mtoto wa mumewe ila faiza kichaa ndo tatizo
Kuna siku alishawahi kuandika "hivi wewe baba Sasha si umfanye huyo mwanamke wako kama ulivyonifanya mimi hadi nikabeba mimba". Kisa tu Happy alikuwa anajiassociate na Sasha. Sasa mtu mtoto wa mume wako amekuja, uache kuspend naye time kweli? Angesema asijihusishe ba mtoto hata kidogo amtelekeze huko kwa house girl, napo si yangekuwa maneno hampendi mtoto wa mumewe?

Kwenye Ile interview ya Zamaradi ndiyo niliona tatizo kubwa sana kwenye comments za singo moms ambao wamegoma kumove on. Wao Kila siku kulalamikia mama wa kambo wana roho mbaya; lakini akitokea mama wa kambo anayeonesha upendo kwa mtoto wanaanza tena kulalamika. "Ooh anafikiri akijionesha kumpenda huyo mtoto ndiyo atamfanya mtoto wangu anisahau; mimi ndiyo mama ake hata iweje". Nikabaki kucheka tu, bitterness kitu kibaya sana.
 
This is sad, kumtumia mtoto kama Ngao ya kupata attention ya EX wako.....kwani Faiza yuko single? embu nielewesheni? lol
amechumbiwa juzi.
Huwa sielewi aina ya mwanaume anayeweza kuput up na hii hali ya mwanamke umezaa nae umemchumbia na bado kila siku ex wake haishi midomoni.
Sijui hata wanamkazaje!
Mxxxxiiie
 
Faiza kama umechumbiwa please focus na huu uhusiano wa sasa..otherwise utajikuta kwenye 'viscous cycle'.. wanakuja, haufocus, wanakuacha, unabaki bitter,
 
Sugu asimame kama baba, aache upumbavu, anajua Faiza ni mtu asiye na brake, anatakiwa sasa aache kufanya mambo ambayo yatamfanya yule dada kichaa chake kipande, this is for sake ya mtoto wake, aangalie maisha ya kina Paula sijui yalianza hivi kwenye mitandao and end up worse ...Sugu don't fail when comes kwa watoto wako, mke wako asingepost huyo mtoto wala msingefika hapa, Taita Happy ni mke wako lakini ipo siku unaweza tengana naye na ikawa history kama ilivyo kwa huyo mwingine, lakini watoto wako forever will remain your blood..
Happy na faiza wote attention seekers tatizo mmoja fyatu mwingine silent killer. Happy na mumewe wanamjua faiza vizuri na walifanya kusudi ili kumprovoke. Wote hawana akili maana mwisho wa siku wanaemuumiza ni mtoto.
 
Oddo weeeeeh si niliona kashare picha za engagement ring kidoleni na maneno matamu matamu!.
Mi hakyamama sielewi unawezaje kukazaje mwanamke wa aina ile.
Like how?
si mtu tu kilasiku atakuwa anajihisi khanithi yailahi!
Wana kazi!
Khaaa; huyo mwanaume hana wazazi au ndugu? Kweli mawifi tumeishiwa nguvu siku hizi🤣🤣
 
Kuna siku alishawahi kuandika "hivi wewe baba Sasha si umfanye huyo mwanamke wako kama ulivyonifanya mimi hadi nikabeba mimba". Kisa tu Happy alikuwa anajiassociate na Sasha. Sasa mtu mtoto wa mume wako amekuja, uache kuspend naye time kweli? Angesema asijihusishe ba mtoto hata kidogo amtelekeze huko kwa house girl, napo si yangekuwa maneno hampendi mtoto wa mumewe?

Kwenye Ile interview ya Zamaradi ndiyo niliona tatizo kubwa sana kwenye comments za singo moms ambao wamegoma kumove on. Wao Kila siku kulalamikia mama wa kambo wana roho mbaya; lakini akitokea mama wa kambo anayeonesha upendo kwa mtoto wanaanza tena kulalamika. "Ooh anafikiri akijionesha kumpenda huyo mtoto ndiyo atamfanya mtoto wangu anisahau; mimi ndiyo mama ake hata iweje". Nikabaki kucheka tu, bitterness kitu kibaya sana.
Yaan faiza ana matatizo makubwa ya akili hajawai kuruhusu moyo wake uwaze mengine, Yule happy tayari ni mke wa sugu na sugu alisha move on zamani sana, hasira zake anafikiriaga zitamrudisha sugu kumbe hajui anajidhalilisha, single mom's wanalazimishaga mtoto aseme anateseka ili sjui mke afukuzwe afu arudiwe yeye?
 
Niamini mimi!
Hakuna mwanaume anayeweza kuwa sawa na aina hii ya mwanamke!
Nani anataka kufeel less of human being?
So wacha wajipitie tu!

Tumsaidie, aone things differently...

i believe Faiza akiacha drama, aka focus na relationship yake, Mwanaume atafeel safe..hivyo wanaweza kudumu kidogo..

Akiendeleza drama, mwanaume atafeel, Faiza haja move on, ama yuko immatured,atamuacha, halafu atajikuta pale pale, kwenye ule mzunguko wa kuwa bitter...
 
Kuna siku alishawahi kuandika "hivi wewe baba Sasha si umfanye huyo mwanamke wako kama ulivyonifanya mimi hadi nikabeba mimba". Kisa tu Happy alikuwa anajiassociate na Sasha. Sasa mtu mtoto wa mume wako amekuja, uache kuspend naye time kweli? Angesema asijihusishe ba mtoto hata kidogo amtelekeze huko kwa house girl, napo si yangekuwa maneno hampendi mtoto wa mumewe?

Kwenye Ile interview ya Zamaradi ndiyo niliona tatizo kubwa sana kwenye comments za singo moms ambao wamegoma kumove on. Wao Kila siku kulalamikia mama wa kambo wana roho mbaya; lakini akitokea mama wa kambo anayeonesha upendo kwa mtoto wanaanza tena kulalamika. "Ooh anafikiri akijionesha kumpenda huyo mtoto ndiyo atamfanya mtoto wangu anisahau; mimi ndiyo mama ake hata iweje". Nikabaki kucheka tu, bitterness kitu kibaya sana.
[emoji2957][emoji2957][emoji28][emoji2][emoji28]
 
Kati ya vitu vyote napenda sana clip za Sasha[emoji28][emoji28]

Yan yule mtoto kapewa simu na kakaririshwa yale maneno kwa kiswahili, ( Faiza hajui ngeli) yy kayatranslate in English halafu uso mkavu kabisa[emoji848]

Huyo mtoto kaishamharibia future in all aspects [emoji848]
 
Hata ningekua Mimi nisingemposti ni ngumu mtoto Kama wa Faiza mama wa kambo amchukie alivyo mtata vile na katoto kenyewe kanaone kambea mbea na kashankupe kale kashatiwa Sumu.
Ninachoonaga kinachowaumiza single moms ni kuona baba wa watoto zao wameoa, wao inawauma, wanabaki kulazimisha watoto waseme wanateseka, wanawafundisha watoto chuki, kama faiza anachekeshaga mara aseme ame move on na ana mahusiano mazuri na baba mtoto wake, lakini hanyi, hali, hanywi, ni sugu na happy, happy na sugu
 
Yaan faiza ana matatizo makubwa ya akili hajawai kuruhusu moyo wake uwaze mengine, Yule happy tayari ni mke wa sugu na sugu alisha move on zamani sana, hasira zake anafikiriaga zitamrudisha sugu kumbe hajui anajidhalilisha, single mom's wanalazimishaga mtoto aseme anateseka ili sjui mke afukuzwe afu arudiwe yeye?
Si amesema eti juzi kwenye event Mrs Mbilinyi alimsukuma mtoto akadondoka na bado akawa anamlazimisha akalale naye. Sasha asukumwe adondoke afu Faiza asipandwe na kichaa hehehe.

Anakapandikiza sumu kale katoto, ila kale katoto kataishi kwa tabu kwa sababu ya upumbavu wa mama yake.
 
Back
Top Bottom