Faiza Ally (Ex wa Sugu) na battle isiyoisha kwa Mke wa Sugu

Shughuli ya mtoto wakitaa kitandani unaijua unaisikia collision aliyokua anaipata kwa mwamba pengine ndo shida harafu

Sugu kachana mistari fulani hivi eti walisema mkewangu mgumba/hazai na Sasa kazaa unadhani faiza haimumi
 
Mwanamke akikupenda AF akakupoteza yuko radhi afanye chochote hata kibaya lakini sio aone mwanamke mwingine anafaidi penzi lako. Sasa Faiza alijua akimuacha sugu jamaa atapoteana lakini anavyokuja kushangaa Mwamba Jongwe akiendelea kupeleka moto chini na mambo yakimnyookea kinamuuma sana na hata ile event yake ambayo mpk rais alitimba nadhani ile imeenda kulabua kitu kizito sana kwa Faiza ndo maana unaona kelele zote
 
Kuna mwanamke nimezaa nae drama zake kama za Faiza tena ana matusi hatari,kuna walati mtt alikuwa kwangu kwenye michezo michezo yao watt akajeruhiwa kidogo hayo maneno yake sasa,kutokana na maneno yake sikutaka tena mtt aje kwangu
 
Sugu Kuna sehemu ameshindwa kusimama kama father, mtazunguka kote but Sugu angesimama kama baba huu ushenzi ungeisha sio kwa huyo na wala kwa yule,
Sugu ndiye Tatizo hapa..
Mbona unacomment kama vile ww ni dada yake Faiza,hebu tuambie Sugu amekosea wap dada?
 
Eti kulabuaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huko China alikuwa anaendaje kama ngeli haipandi [emoji2]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mbona hamliliagi baba Li au huyo hajamgusa kunako



Alisema alikubaliana nae kumpa mbegu tu ya mtoto (sperm donation) na kwamba jamaa hatahusika kwa gharama yoyote hata shilingi 100 kuhusu kitakachozaliwa.

Sasa jamaa sijui ni Mjeda au labda waliandikishana mahala. Maana naona bidada hathubutu kusema suuuu [emoji40]

Maana jamaa nasikia ni mume wa mtu hataki kuvurugiwa.

Jamaa inaonekana yuko strict sana Yani bidada na kujifanya wazimu lakini hakosei hata siku moja Kwa hiyo jamaa.

Adabu!

Mnyonge wake alobaki ni Mbilinyi na mkewe tu basi!
 
Sasa mtu hata kama una madeni yamekuzidi kupita kiasi hizo stress unashindwa kuzimudu kiasi kwamba unataka kuzihamishia kwenye ndoa ya mzazi mwenzio wakose amani na mkewe?!

Wao ndio walikutuma ukope na kuchukua hela za watu nyingi halafu ushindwe kumalizana nao?!

Haifai
 
Kuna mwanamke nimezaa nae drama zake kama za Faiza tena ana matusi hatari,kuna walati mtt alikuwa kwangu kwenye michezo michezo yao watt akajeruhiwa kidogo hayo maneno yake sasa,kutokana na maneno yake sikutaka tena mtt aje kwangu
Daaahhh...pole Sana wanawake sisi baadhi ni vichomi Sana,amesababisha mtoto asiinjoi na baba ake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…