Faiza Ally (Ex wa Sugu) na battle isiyoisha kwa Mke wa Sugu

Kampuni za usafirishaji zilimfelishaga Sana akajikuta anaingia loss kubwa mnoo,mpk akaunti yake ikafuta Ile ya followers 2m nadhani wananchi walimshupaliaga Sana!!wakamshtakia,ndo anainuka pole pole kipindi kile Yuko busy alipunguza hizi drama
Kipindi cha corona
 
Ila on the other side hatak mwanae hapostiwe ..uyo dada happy angeachanaga nae tyuu mana Faiza ypo clear mbna hatak amposti mwanae
Angekataa tu bila kumkaririsha binti yake na kumrecord , bila kutukana mtoto wa mwaka mmoja (Freeman) angepungua nini?
Halafu mbona wanau hasama tangu siku nyingi kwa nini hataki uhasama huo uishe anafaidika nini na ugomvi...
Mi ningedhani kupostiwa kwa bintiye kungekuwa Kama chachu ya maridhiano...
Anavyomtukana mtoto wa sugu ajue anazidi kufanya uhusiano wa sugu na mwanae kuwa mgumu...
Kwa nini anashindwa ku behave kwa manufaa ya binti yake

Hivi nikuulize faiza angekuwa happily married angekuwa anajali vitu vidogo vidogo Kama hivyo? Eti kupostiwa tu ndio awehuke hivyo!! Huyo tatizo ni moja tu haja move on...
 
Ila on the other side hatak mwanae hapostiwe ..uyo dada happy angeachanaga nae tyuu mana Faiza ypo clear mbna hatak amposti mwanae
Hata asipompost, ataleta lingine tu.. Faiza is dramatic person by nature.. We kwa akili yako hiyo mke mwenzako akimpost mtoto wako yatakutoka hayo maneno?

Sugu ameyaona mengi sana anafaa kuwa mshauri wa wababa wenye dramatic baby mamas.
 
Mwanamke lazima awe na wivu.. mwanae kaongea na Rais ulitegemea yule mwanamke akae kimya? Lazima akiwashe ili aonekana kuwa na yeye yupo na yeye ndio kamzaa sasha…

Yaani hapo hakuna kumyafuta mchawi mwanamke yoyote lazima afanye vile..

Ukitembea na mwanamke mtaani lazima atajipitisha kwa mkeo lzima atafanya juu chini ili mkeo ajue.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…