Kheri Hansen
JF-Expert Member
- Jan 20, 2018
- 1,025
- 1,238
huyu dada ashavuka stage ya kutumika sasa anatumia, yaani anataka kumtumia sugu na umaarufu wake ili aendelee kubaki mjini, ni kama ali kiba kwa diamond. kikubwa sugu asimjibu kitu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuu, maana yule akili zimefyatukaTahadhari ni kuwa mbali kabsa na huyo mwanamke
View attachment 781104
Faiza Ally ambaye ni muigizaji wa Bongo movie na mama watoto wa Mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ amesema kuwa hayuko tayari kuolewa na mzazi mwenzake huyo bali anaweza mzalia mtoto mwingine.
Faiza amefunga hayo katika mazungumzo yake na eatv.tv ambapo amesema kuwa hana ndoto za kuolewa na Sugu bali anaweza mpatia mtoto mwingine kwakuwa ana mbegu nzuri na kujivunia kuwa binti yake ni mzuri kama baba yake.
“Sugu naweza mzalia mtoto mwingine maana ana mbegu nzuri kanipatia mtoto mzuri sana lakini sio kuolewa nae maana tulishindwana awali sidhani kama tunawezana tena”, amesema Faiza.
Mwana dada huyo mwenye watoto wawili hivi sasa ameendelea kusema kuwa ataongeza mtoto mwingine endapo atapata kipato zaidi lakini kwa sasa hali yake inamruhusu watoto wake hao wawili.
Kweli mkuu kuna vichaa hutowaepuka for the rest of ur life kisa kupiga pekuSometimes madhara ya kupiga peku sio magonjwa ya zinaa tu ila kuleta matatizo kwenye maisha unajikuta tu una ukaribu na mwehu mmoja kisa ni mzazi mwenzio.
Mtu akikukuna vema lazima usimsahau.Hivi hachoki kumuongelea sugu,keshazaa mtoto na mwanaume mwingine bado anamuongelea tu sugu haaa mpaka inachoshaa
YaaniHivi hachoki kumuongelea sugu,keshazaa mtoto na mwanaume mwingine bado anamuongelea tu sugu haaa mpaka inachoshaa
Ni kweli kbsKuachwa kunauma.
Tena ikiwa wewe ndie ulizingua lazima uwe mwehu hivi hivi.
BTW ni nani aliyezaa na Faiza huyu mtoto wa sasa? Kwa kutumia hisia zangu nadhani ni mtu mwenye mke na watoto, fedha na heshima kubwa kwenye jamii. Labda nitakuwa nimekosea.Faiza acha wenge Sugu ana mke,tulia na mtu wako huyo uliyezaa nae,wewe unadhani huyo mpenzi wako anafeel_aje kwa hiyo kauli yako ya "KUMPA TENA SUGU"?
Mkuu umetugusa wengi sana, mm pia ni miongon mwa watu kama sugu na wengineoSometimes madhara ya kupiga peku sio magonjwa ya zinaa tu ila kuleta matatizo kwenye maisha unajikuta tu una ukaribu na mwehu mmoja kisa ni mzazi mwenzio.
Simjui kwa kweli labda hawajamuweka wazi.BTW ni nani aliyezaa na Faiza huyu mtoto wa sasa? Kwa kutumia hisia zangu nadhani ni mtu mwenye mke na watoto, fedha na heshima kubwa kwenye jamii. Labda nitakuwa nimekosea.
Kama Joyce Kiria kwa Kamanda Kileohuyu dada ashavuka stage ya kutumika sasa anatumia, yaani anataka kumtumia sugu na umaarufu wake ili aendelee kubaki mjini, ni kama ali kiba kwa diamond. kikubwa sugu asimjibu kitu.
Pole.Mkuu tuko wengi hivyo usijiona mpweke. Halafu watu wa aina hii wanafanya kila iwezekanavyo kuku-disturb tu. Ni vigumu kuwakwepa. Wakiona unawakacha sana wanatumia mtoto kukuvuta. Da.