Faiza Ally: Sugu Mzuri, nipo tayari kumpa tena

Faiza Ally: Sugu Mzuri, nipo tayari kumpa tena

huyu dada ashavuka stage ya kutumika sasa anatumia, yaani anataka kumtumia sugu na umaarufu wake ili aendelee kubaki mjini, ni kama ali kiba kwa diamond. kikubwa sugu asimjibu kitu.
 
Huyu ni wa uswahilini, ukichanganya na kwamba akili zake hazina akili, Sugu anajuta kumfahamu.
 
View attachment 781104
Faiza Ally ambaye ni muigizaji wa Bongo movie na mama watoto wa Mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ amesema kuwa hayuko tayari kuolewa na mzazi mwenzake huyo bali anaweza mzalia mtoto mwingine.

Faiza amefunga hayo katika mazungumzo yake na eatv.tv ambapo amesema kuwa hana ndoto za kuolewa na Sugu bali anaweza mpatia mtoto mwingine kwakuwa ana mbegu nzuri na kujivunia kuwa binti yake ni mzuri kama baba yake.
“Sugu naweza mzalia mtoto mwingine maana ana mbegu nzuri kanipatia mtoto mzuri sana lakini sio kuolewa nae maana tulishindwana awali sidhani kama tunawezana tena”, amesema Faiza.

Mwana dada huyo mwenye watoto wawili hivi sasa ameendelea kusema kuwa ataongeza mtoto mwingine endapo atapata kipato zaidi lakini kwa sasa hali yake inamruhusu watoto wake hao wawili.

Nishawahi kudate demu kichaa kama huyo, mara nyingi sana wanakuwa na matatizo zaidi ya wanayoyaonyesha, huyo matatizo yake yanaanzia utotoni na hakuna kitu utafanya keshadata, ni shida, ila kwa sex ni wazuri usipime, sasa hapo unachanganyikiwa demu anakupa sex ya ukweli dadadeki lkn kila kitu kinaishia hapo mdomo mchafu kama choo, anaweza kukutukana mbele ya washikaji au watu unaowaeshimu, lkn ukikumbuka sex zao unadata, hapo sasa, uchague kipi? Sex nzuri au heshima?
 
Faiza acha wenge Sugu ana mke,tulia na mtu wako huyo uliyezaa nae,wewe unadhani huyo mpenzi wako anafeel_aje kwa hiyo kauli yako ya "KUMPA TENA SUGU"?
 
hiyo habari ya kuzaa nae tena si ya leo ni ya miaka mitatu iliyopita,aliyeileta ndio kaiona leo...
 
Faiza acha wenge Sugu ana mke,tulia na mtu wako huyo uliyezaa nae,wewe unadhani huyo mpenzi wako anafeel_aje kwa hiyo kauli yako ya "KUMPA TENA SUGU"?
BTW ni nani aliyezaa na Faiza huyu mtoto wa sasa? Kwa kutumia hisia zangu nadhani ni mtu mwenye mke na watoto, fedha na heshima kubwa kwenye jamii. Labda nitakuwa nimekosea.
 
huyu dada ashavuka stage ya kutumika sasa anatumia, yaani anataka kumtumia sugu na umaarufu wake ili aendelee kubaki mjini, ni kama ali kiba kwa diamond. kikubwa sugu asimjibu kitu.
Kama Joyce Kiria kwa Kamanda Kileo
 
Back
Top Bottom